Hapa unaandika jpili waenda kanisani kama kawaInaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao, hata baada ya kuwafukuza wakoloni Africa bado tunawapelekea wakoloni hao hao rasilimali fedha ambazo tunachangishana makanisan sadaka na misikitini (hija fee).
Yaani hela zetu zinawafikia wakoloni wakiwa wamekaa, mtaji wao ni biblia na Quran tu.
Jiulize kabla ya dini za wakoloni kuja africa, je africa kulikuwa na shetani?
Huu ni uwongo na uelewa mdogo wa maandiko usipotosheMTU ANAKUAMBIA UKIUA MWENZAKO BASI UTAZAWADIWA KUNDI LA WANAWAKE LA KUFANYA NALO MAPENZI NA MIFEREJI YA POMBE ZA BURE
Afrika tuungane tuwakatae wazunguCha kufanya ni kipi? Tofauti na hapo haya ni malalamiko tu
Unachekesha sana kama sijatokea kwenuAfrika tuungane tuwakatae wazungu