Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.

Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani​

Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto wetu. tuwekeze kwenye mali zaidi kuliko kuwalipia ada mamilioni mwisho wa siku wanarudi nyumbani wakiwa hawawezi hata kujitegemea
 
Naona una wivu tu na hiyo elimu, unaonekana hauna masterz kisha unapata mshahara wa laki 5 au 6 so unamuona mwenye Masterz kama mjinga tu.

Sikiliza mkuu kuna form IV leavers wengi saaana na darasa la 7 wamekuburuza kimaisha kama akina Harmonize, Musukuma n.k anayetoa riziki na kipato cha mtu ni Mungu ndo maana tunawasihi sana vijana kuwa na utulivu ktk maisha, wasiwe na matarajio makubwa saana sababu kila mtu ameandikiwa kufanikiwa kwa wakati wake na kwa namna yake. Maisha hayapo level kwamba ukiwa na umri fulani utakuwa hatua fulani au ukiwa na elimu fulani utakuwa hatua fulani.

Ukijiona una uhakika wa kula, kulala na kuvaa basi mshukuru Mungu. Yule ambae hana uhakika huo tambua kuna majira yake yatafika tu, hawezi kuwa hivyo milele.
 
Watu wasomee ujuzi siyo kukariri kusoma business administration wakati Baba yako hana hata hardware.
 
Naona una wivu tu na hiyo elimu, unaonekana hauna masterz kisha unapata mshahara wa laki 5 au 6 so unamuona mwenye Masterz kama mjinga tu.

Sikiliza mkuu kuna form IV leavers wengi saaana na darasa la 7 wamekuburuza kimaisha kama akina Harmonize, Musukuma n.k anayetoa riziki na kipato cha mtu ni Mungu ndo maana tunawasihi sana vijana kuwa na utulivu ktk maisha, wasiwe na matarajio makubwa saana sababu kila mtu ameandikiwa kufanikiwa kwa wakati wake na kwa namna yake. Maisha hayapo level kwamba ukiwa na umri fulani utakuwa hatua fulani au ukiwa na elimu fulani utakuwa hatua fulani.

Ukijiona una uhakika wa kula, kulala na kuvaa basi mshukuru Mungu. Yule ambae hana uhakika huo tambua kuna majira yake yatafika tu, hawezi kuwa hivyo milele.
Anachomaanisha kama huna ajira ya kumpa mwanao ni bora ukamjengea nyumba na ukampa elimu ya ufundi kuliko kutumia mamilioni kumsomesha hadi masters halafu asiweze hata kulipa chumba cha kupanga.
 
Ni sahihi lakini pia mtu mwenyewe afanye juhudi/apambane huku akimuomba Mungu amfungulie milango ya mapito yake. Mtu asikae kuingojea siku/riziki aliyopangiwa na Muumba wake kwani haijui siku wala saa. Kwa hiyo wakati ndo sasa - amka pambana.
 
Mkuu embu twende mbele turudi nyuma, tuongee kiuhalisia. Kila unachowekeza kwa mtoto huwa kinakuja na matokeo chanya?

Hakuna mafundi magari, fridge n.k hawana kazi wanapambana mtaani? Hakuna wazazi wanaofungulia watoto wao biashara na bado zinakufa?

Kuna mambo ndani ya Taifa bado hayajakaa sawa ktk kuinua uchumi wa vijana.
 
Mkuu vijana wanapambana saana, vijana wana degree sasa hivi ndo wanaongoza kwa udalali, wanauza simu kkoo, wengine wapo machinga ktk mitumba, wengine bodaboda. Ni ngumu sana kunielewa kama mtu hujawahi kukaa kitaa kisha ukatoboa.
 
Naona una wivu tu na hiyo elimu, unaonekana hauna masterz kisha unapata mshahara wa laki 5 au 6 so unamuona mwenye Masterz kama mjinga tu.

Sikiliza mkuu kuna form IV leavers wengi saaana na darasa la 7 wamekuburuza kimaisha kama akina Harmonize, Musukuma n.k anayetoa riziki na kipato cha mtu ni Mungu ndo maana tunawasihi sana vijana kuwa na utulivu ktk maisha, wasiwe na matarajio makubwa saana sababu kila mtu ameandikiwa kufanikiwa kwa wakati wake na kwa namna yake. Maisha hayapo level kwamba ukiwa na umri fulani utakuwa hatua fulani au ukiwa na elimu fulani utakuwa hatua fulani.

Ukijiona una uhakika wa kula, kulala na kuvaa basi mshukuru Mungu. Yule ambae hana uhakika huo tambua kuna majira yake yatafika tu, hawezi kuwa hivyo milele.
Swadaqta!
 
Mkuu embu twende mbele turudi nyuma, tuongee kiuhalisia. Kila unachowekeza kwa mtoto huwa kinakuja na matokeo chanya?

Hakuna mafundi magari, fridge n.k hawana kazi wanapambana mtaani? Hakuna wazazi wanaofungulia watoto wao biashara na bado zinakufa?

Kuna mambo ndani ya Taifa bado hayajakaa sawa ktk kuinua uchumi wa vijana.
Hii hali itakuwa mara mbili zaidi miaka 10 ijayo, elimu itabaki kuwa muhimu milele tena watu wasome kweli...Ila nchi za kiafrica ni balaa kama Nijeria ni mfano zaidi na hapo Kenya balaa lishaanza.

Ushauri kwa watanzania, hakuna haja ya kubeza ila ukiwa na familia pambana sana kujenga biashara ya kifamilia , uwe na pesa ili watoto wasome vizuri wafike mbali...Wawe na uwezo kwa kuendesha biashara za kifamilia mfano Mo Dewji.
 
Mkuu vijana wanapambana saana, vijana wana degree sasa hivi ndo wanaongoza kwa udalali, wanauza simu kkoo, wengine wapo machinga ktk mitumba, wengine bodaboda. Ni ngumu sana kunielewa kama mtu hujawahi kukaa kitaa kisha ukatoboa.
Hayo ndo mapambano yenyewe mkuu. Usishangae hadi huku vijijini kwetu sasa vijana wasomi wapo na kazi inaendelea boda, kilimo, ufugaji, mikopo/ujasiriamali, saidia fundi, migahawa etc. (Hoja ya kiwango cha elimu wameiweka pembeni kwanza - wanapiga kazi).
Cha msingi ni wajipatie riziki kiHalali na wasikalie kazi ya kulalamika kutwa nzima as if kuna mtu amezuia au amehodhi nafasi za ajira kiasi kwamba ndo imesababisha wao wasipate au wakose ajira.
 
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.

Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani​

Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto wetu. tuwekeze kwenye mali zaidi kuliko kuwalipia ada mamilioni mwisho wa siku wanarudi nyumbani wakiwa hawawezi hata kujitegemea
Serikali ibadilishe mitaala, wasomi watoke wakiwa na uwezo wa kufanya field works instead of kusubiria ajira. Mitaala ya vyuo bado ni ile ile ya 80s wakati huo serikali ilikuwa na shida ya wasomi, kwa sasa wasomi ni wengi kuliko mahitaji why serikali haibadilishi mitaala?

familia nazo lazima wazazi wabadiliahe mitazamo, mpaka leo wanasomesha mtoto wakidhani ataajiriwa, nyakati zimebadilika. Waanze kuwafundisha watoto kujitegemea angali wadogo, sambamba na kuwasomesha
 
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.

Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani​

Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto wetu. tuwekeze kwenye mali zaidi kuliko kuwalipia ada mamilioni mwisho wa siku wanarudi nyumbani wakiwa hawawezi hata kujitegemea
Elimu siyo njia ya kuukwepa umaskini bali ni silaha ya kupambana nao.

Anyway, mifumo ya Elimu katika nchi nyingi za ki-Afrika ni ya kuletwa na Wazungu, haijaasisiwa na wananchi wenyewe wa nchi za Afrika.
 
Back
Top Bottom