Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ni kama vile Mzee mohamed alivyomsomesha mo ili aendeshe uwekezaji wakeWatu wasomee ujuzi siyo kukariri kusoma business administration wakati Baba yako hana hata hardware.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama vile Mzee mohamed alivyomsomesha mo ili aendeshe uwekezaji wakeWatu wasomee ujuzi siyo kukariri kusoma business administration wakati Baba yako hana hata hardware.
Sijuwi kwa wengine huko, hapa Tz biashara hutozwa kodi kabla haijaanza.Kwani huko ulaya mifumo yao ya elimu ndio imekaa kimfumo wa kujiajiri..?
Cha msingi serikali ifanye wajibu wake wa kuhakikisha kunakuwa na fursa nyingi za ajira na kujiajiri kwa vijana na sio siasa au propaganda kila sehemu.
Hawa European na USA au China na japan sio wajinga wanakuwa na data za kila mwezi kuhusu hali ya ajira ya wananchi wao..
Haiwezekani wanatoka vijana wenzetu hapa hawana ajira wanafika ulaya na america wanapata ajira on spot na wanaanza kuwekeza huku kwa nn sisi tunashindwa tunashida mahali ise.
Hapo nimekubali kabisa 100% na laiti wanaofikiria future ya watoto wao wangelizingatia hivyo. Mfumo uliopo kama ulivyobainisha ni kwamba umeshakosewa tangu mwanzo na kusahihisha tena ni next to impossible - watoto sasa ni Adults halafu labda wamezaliwa kwenye michepuko n.k. - hawana uchungu na mali walizozikuta na kuachiwa kiulaini.Huu mfumo haufai kutumika kama una watoto wa mama tofauti tofauti unless ulitumia nafasi yako kama baba kuwaleta pamoja wakawa kitu kimoja, yaani watoto wapendane bila kujali mama zao wanawaambia nini.
Pia huu mfumo unafanya kazi vizuri pale ambapo watoto tangu wadogo wanakua wakiwa wanashirikishwa katika shughuli za familia zilizozaa hizo mali. Sio wameenda kusoma huko wamerudi ni watu wazima ujaribu kuwaingiza kwa nguvu.
Mfano, mnajenga nyumba watoto wakiwa na 10 years wanaenda sight kupanda miti, kila mmoja kapewa mti wake wa kuutunza wakija kuwa na 25 years maamuzi ya kuuza hiyo nyumba yatakuwa magumu mno sababu ya memories na bond zilizosimikwa na eneo husika.
Tatizo letu wazazi wa kitanzana matukio ya kuwafanya watoto wawe na bond hatuna kabisa.

Yes; lakini kujifunza stadi za kazi ni Elimu pia.Elimu imekosa thamani, si hapa tu. Duniani kote. Dawa ni kujifunza stadi.
Mleta mada inabidi wewe ndiye ubadilishe mtazamo wako.INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.
Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani
Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto wetu. tuwekeze kwenye mali zaidi kuliko kuwalipia ada mamilioni mwisho wa siku wanarudi nyumbani wakiwa hawawezi hata kujitegemea
Usiwabeze au kuwapuuza mkuu. Hilo linawezekana kabisa hususan pale msomi wa leo anapokuwa hana hata pa kuanzia na ukichanganya na kuona aibu kwamba anadhalilika basi baadhi yao hufa na tai zao shingoni.Tatizo elimu yetu ya magumashi na lugha inatuangusha, ila kwa mtu mwenye elimu kuanzia degree mpka master's kukosa kazi ya kufanya kwenye hii dunia ya utandawazi ni uzembe!
Mleta mada inabidi wewe ndiye ubadilishe mtazamo wako.
Lengo la watu kwenda kusoma sio kwa ajili ya kupata pesa bali kuchota maarifa ili kuja kuweza kukomboa jamii inayowazunguka au kwa ajili tu ya yeye kufahamu tu kuhusu hiyo taaluma.
Ndio maana utakuta wengine wana degree mpaka tano tofauti tofauti.
Ila huwa nashauri watu wasisome masters kama hawana shughuli rasmi wanayoifanya ili wakienda masters wachukue masters ya iyo shughuli ili wabobee huko.Ni kweli na maumivu yake yanawapata pia hata wazazi kwani wote wazazi na watoto walichotegemea kuwa ndo yatakuwa matokeo ya usomi imekuwa ni kinyume chake.
Swali langu je unaikomboa vipi jamii kama wewe mwenyewe huwezi kujikomboa ?
Wewe mwenyewe ni tegemezi huwezi kujitegemea kupata mahitaji yako ya msingi. Je unawezaje kuwakomboa wengine ?
Ni sahihi kabisa 100% mkuu. Sio mtu anajijazia mavyeti kwa umaarufu halafu mwisho wa siku anaanza kulia lia eti hana ajira ilhali ana masters in so and so.Ila huwa nashauri watu wasisome masters kama hawana shughuli rasmi wanayoifanya ili wakienda masters wachukue masters ya iyo shughuli ili wabobee huko.

SafiHuu mfumo haufai kutumika kama una watoto wa mama tofauti tofauti unless ulitumia nafasi yako kama baba kuwaleta pamoja wakawa kitu kimoja, yaani watoto wapendane bila kujali mama zao wanawaambia nini.
Pia huu mfumo unafanya kazi vizuri pale ambapo watoto tangu wadogo wanakua wakiwa wanashirikishwa katika shughuli za familia. Sio wameenda kusoma huko wamerudi ni watu wazima ujaribu kuwaingiza kwa nguvu.
Mfano, mnajenga nyumba watoto wakiwa na 10 years wanaenda sight kupanda miti, kila mmoja kapewa mti wake wa kuutunza wakija kuwa na 25 years maamuzi ya kuuza hiyo nyumba yatakuwa magumu mno sababu ya memories na bond zilizosimikwa na eneo husika.
Tatizo letu wazazi wa kitanzana matukio ya kuwafanya watoto wawe na bond hatuna kabisa.
Kabisa mkuuHapo nimekubali kabisa 100% na laiti wanaofikiria future ya watoto wao wangelizingatia hivyo. Mfumo uliopo kama ulivyobainisha ni kwamba umeshakosewa tangu mwanzo na kusahihisha tena ni next to impossible - watoto sasa ni Adults halafu labda wamezaliwa kwenye michepuko n.k. - hawana uchungu na mali walizozikuta na kuachiwa kiulaini.![]()
![]()
Ajira ni fursa. Fursa na population havikai sambamba... Unless population ile iwe controlled. Hata kama Leo watu wakipata hizi livelihood skills kupitia veta miaka kadhaa mbele Ngoma itawamba tu. Kwan hakuna mafundi wa veta humu wanatafuta fursa za kufanya?Serikali ibadilishe mitaala, wasomi watoke wakiwa na uwezo wa kufanya field works instead of kusubiria ajira. Mitaala ya vyuo bado ni ile ile ya 80s wakati huo serikali ilikuwa na shida ya wasomi, kwa sasa wasomi ni wengi kuliko mahitaji why serikali haibadilishi mitaala?
familia nazo lazima wazazi wabadiliahe mitazamo, mpaka leo wanasomesha mtoto wakidhani ataajiriwa, nyakati zimebadilika. Waanze kuwafundisha watoto kujitegemea angali wadogo, sambamba na kuwasomesha
Inategemeana na scope ya serikali kipindi hiko, as i said mitaala ilikuwa structured kufidia mahitaji ya nchi wakati huo. But mahitaji ya kipindi hiki yakoje?Ajira ni fursa. Fursa na population havikai sambamba... Unless population ile iwe controlled. Hata kama Leo watu wakipata hizi livelihood skills kupitia veta miaka kadhaa mbele Ngoma itawamba tu. Kwan hakuna mafundi wa veta humu wanatafuta fursa za kufanya?
Mm naona, kwa perspective yako! Inatakiwa ifanyike assessment ya kutosha juu ya risk za maendeleo hasa ya teknolojia. Hivi unakubaliana na mm kwamba maendeleo ya teknolojia yanachagiza uchache wa fursa kwa namna Fulani?Inategemeana na scope ya serikali kipindi hiko, as i said mitaala ilikuwa structured kufidia mahitaji ya nchi wakati huo. But mahitaji ya kipindi hiki yakoje?
Obvious yamechange , but mitaala haijachange. Na shida ndio inaanza hapa
Scope ya nchi na wasomi waliopo vinapishana mbali mno