Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

Naona una wivu tu na hiyo elimu, unaonekana hauna masterz kisha unapata mshahara wa laki 5 au 6 so unamuona mwenye Masterz kama mjinga tu.

Sikiliza mkuu kuna form IV leavers wengi saaana na darasa la 7 wamekuburuza kimaisha kama akina Harmonize, Musukuma n.k anayetoa riziki na kipato cha mtu ni Mungu ndo maana tunawasihi sana vijana kuwa na utulivu ktk maisha, wasiwe na matarajio makubwa saana sababu kila mtu ameandikiwa kufanikiwa kwa wakati wake na kwa namna yake. Maisha hayapo level kwamba ukiwa na umri fulani utakuwa hatua fulani au ukiwa na elimu fulani utakuwa hatua fulani.

Ukijiona una uhakika wa kula, kulala na kuvaa basi mshukuru Mungu. Yule ambae hana uhakika huo tambua kuna majira yake yatafika tu, hawezi kuwa hivyo milele.
Mkuu umeongea kwa uchungu sana. Nimelia sana.
 
Mi nishachoka na mambo ya degree aiseee..
Bora niingie mtaani tuu
Yeah ingia mtaani kwa nia njema ya kufanya kile kilicho halali. Sio unaingia mtaani kujiunga na magenge ya kiuhalifu e.g kubwia unga au Panya-rodi na mambo kama hayo.
Huku mtaani hakujawahi kuwa hakuna nafasi kumejaa au haruhusiwi mtu hapa au Tuma maombi kupitia Mtaani portal au Interview. Ni ww tuu unaamua. Karibu sana mkuu.
 
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.

Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani​

Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto wetu. tuwekeze kwenye mali zaidi kuliko kuwalipia ada mamilioni mwisho wa siku wanarudi nyumbani wakiwa hawawezi hata kujitegemea
Tatizo sio wasomi, siasa, zetu hazitengenezi Sera nzuri za, uchumi, Hata china, ambayo ni super power, wapo vijana wanatoka vyuoni, na wanakosa ajira! Jiulize kama kijana wa china, Japan, option yake ya kwanza, baada ya kutoka chuoni,ni kutafuta kuajiliwa, nchi, zenye uchumi mkubwa,unategemea nini kijana kutoka udom, DIT,udsm,nchi maskini kama yetu! Awe na ujasiri, na, mbinu za kutafuta kujiajiri? Nchi yetu wizara,ya tamisemi Ina mpango wa, kutumia bilions za TSH kununua ma v8 ya wakuu wa wilaya! Kwanini, hayo ma pesa usiyatumie kupeleka, vijana wetu google, Microsoft, Toyota, kusoma, na, kufanya field,
Kama, tunaweza, kuomba kibari under license kuzalisha KFC, kwanini tusiwe na plant ya hisence electronics, samsung, Toyota, miaka ya, zamani, 90 tulikuwa, na plant yq ku assemble scania pale kibaha.
Haya Mambo yq kupeleka vijana kulima pale Dodoma ni upuuzi, hawawezi kulima na kuweza kuzalisha ma pesa ya kutosha kama bkheresa, lakini kijanq mmoja, a kutengeneza App, kama Nara, au j forum, anaweza, kutengeneza ajira za kutosha.
Sie ni maskini sana, kwa, kila TSH 100,wanayokusanya TRA, 45% ni matumizi yq kawaida, mshahara, posho, nk, 60%kulipa mikopo, hapo, hakuna maendeleo! Ajira, unatengeneza vipi? Hata pesa, yq kusomesha vyuo virus, haitoshi, tuna wahitimu wengi, ma injinia, Madonna, nk, na tunawahitaji, lakini hatuna uwezo, wa kifedha wa kuwaingiza kwenye payroll! Fuckers
 
Ndio hivo mkuu..
Sometimes kwa sisi ambao ni watoto wa land tiller tunajiongeza kiivo.
Kuepuka fedheha kama hizi..
 
Serikali ibadilishe mitaala, wasomi watoke wakiwa na uwezo wa kufanya field works instead of kusubiria ajira. Mitaala ya vyuo bado ni ile ile ya 80s wakati huo serikali ilikuwa na shida ya wasomi, kwa sasa wasomi ni wengi kuliko mahitaji why serikali haibadilishi mitaala?

familia nazo lazima wazazi wabadiliahe mitazamo, mpaka leo wanasomesha mtoto wakidhani ataajiriwa, nyakati zimebadilika. Waanze kuwafundisha watoto kujitegemea angali wadogo, sambamba na kuwasomesha
Sidhani kama kubadilisha mitaala itakuwa suluhisho. Ninakubaliana na wewe 100% kwenye hoja ya Familia. Ukizingatia Familia ndo shule ya kwanza kabisa na hapo mtoto atakuwa ameshajua kwamba anasoma ili aweze kufanya kazi fulani kwa ufanisi wa kiwango cha juu zaidi kuliko inavyofanyika sasa ( achieve a higher performance standards) na wenzake waliomtangulia. Atakuwa ameondokana na mtizamo wa "ninasoma nifaulu vizuri ili nije kuajiriwa kwa mshahara mkubwa ktk Ofisi fulani."
 
Hii hali itakuwa mara mbili zaidi miaka 10 ijayo, elimu itabaki kuwa muhimu milele tena watu wasome kweli...Ila nchi za kiafrica ni balaa kama Nijeria ni mfano zaidi na hapo Kenya balaa lishaanza.

Ushauri kwa watanzania, hakuna haja ya kubeza ila ukiwa na familia pambana sana kujenga biashara ya kifamilia , uwe na pesa ili watoto wasome vizuri wafike mbali...Wawe na uwezo kwa kuendesha biashara za kifamilia mfano Mo Dewji.
Ndo haswa wachaga tufanyavyo.
 
Tatizo sio wasomi, siasa, zetu hazitengenezi Sera nzuri za, uchumi, Hata china, ambayo ni super power, wapo vijana wanatoka vyuoni, na wanakosa ajira! Jiulize kama kijana wa china, Japan, option yake ya kwanza, baada ya kutoka chuoni,ni kutafuta kuajiliwa, nchi, zenye uchumi mkubwa,unategemea nini kijana kutoka udom, DIT,udsm,nchi maskini kama yetu! Awe na ujasiri, na, mbinu za kutafuta kujiajiri? Nchi yetu wizara,ya tamisemi Ina mpango wa, kutumia bilions za TSH kununua ma v8 ya wakuu wa wilaya! Kwanini, hayo ma pesa usiyatumie kupeleka, vijana wetu google, Microsoft, Toyota, kusoma, na, kufanya field,
Kama, tunaweza, kuomba kibari under license kuzalisha KFC, kwanini tusiwe na plant ya hisence electronics, samsung, Toyota, miaka ya, zamani, 90 tulikuwa, na plant yq ku assemble scania pale kibaha.
Haya Mambo yq kupeleka vijana kulima pale Dodoma ni upuuzi, hawawezi kulima na kuweza kuzalisha ma pesa ya kutosha kama bkheresa, lakini kijanq mmoja, a kutengeneza App, kama Nara, au j forum, anaweza, kutengeneza ajira za kutosha.
Sie ni maskini sana, kwa, kila TSH 100,wanayokusanya TRA, 45% ni matumizi yq kawaida, mshahara, posho, nk, 60%kulipa mikopo, hapo, hakuna maendeleo! Ajira, unatengeneza vipi? Hata pesa, yq kusomesha vyuo virus, haitoshi, tuna wahitimu wengi, ma injinia, Madonna, nk, na tunawahitaji, lakini hatuna uwezo, wa kifedha wa kuwaingiza kwenye payroll! Fuckers
Jifunze kupanga paragraph kwenye uandishi wako.
 
Mkuu embu twende mbele turudi nyuma, tuongee kiuhalisia. Kila unachowekeza kwa mtoto huwa kinakuja na matokeo chanya?
Hapana, ila Kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuwa na kazi wateja hawapo na kuwa na elimu huna kazi. Unamaliza masters upo 30's huku unatafuta kazi wakati ufundi garage ukiwa 30's una uzoefu mkubwa sababu huwezi kosa garage ya kuwa nyoka wa fundi mkuu tangu upo 20's.
Hakuna mafundi magari, fridge n.k hawana kazi wanapambana mtaani? Hakuna wazazi wanaofungulia watoto wao biashara na bado zinakufa?
Ukiona una elimu ya ufundi esp magari na huna kazi kabisa basi tatizo ni wewe. Si unakaa tu garage yoyote hata hapo nje, utaitwa tu ufungue hata tairi.
 
Mkuu sasa ndo kusema am finished with these masters in theory welding?
Hapana mkuu; usikate tamaa mapema ki-vile. Put that theory into practice. Kubali kufanya kazi hiyo hata kama supervisor wako atakuwa ni F4 au hata std 7. Wewe kaza fuvu tu na ukishakuwa na uzoefu, then una-merge ile theory yako na hicho ulichajifunza kutoka kwa hao madogo - hapo ndo utaifurahia degree yako.
 
Ndo hivo mkuu...
Madogo wanaponda boom tu kule na wanajua kuwa system ilivyo.
Alafu anatoka pale anarudi hom...

Miaka inaenda tuu
Inasikitisha yan.Utadhani unampigia mbuzi gitaa....
Hali halisi wanaiona lakini hawachukui hatua za Tahadhari, wanakazania mashindano kula tunda kimasihara. Wakitoka hapo wanakuwa ni wageni tena kwenye mazingira yao wenyewe. :KEKBye:
 
Anachomaanisha kama huna ajira ya kumpa mwanao ni bora ukamjengea nyumba na ukampa elimu ya ufundi kuliko kutumia mamilioni kumsomesha hadi masters halafu asiweze hata kulipa chumba cha kupanga.
Mkuu; Mbona ni kama unataka kumshauri mdau ili amharibu mwanae?
1. Utampaje mwanao ajira? Mwache mwanao ajiajiri mwenyewe. Wewe kazi yako iwe tu ni kumshauri na kumwezesha.
2. Unamjengea nyumba mwanao?????. Je, mwanao alikwambia anataka nyumba? Kwamba nyumba ndo kipaumbele chake? Je, umekusudia kwa makusudi kabisa kumpoteza kijana wako? Elewa umri wa kijana wako na kama ilivyo kwa takriban vijana wote rika hilo. Hakika utampoteza. Hiyo nyumba kama ni Ke itakuwa ni danguro na kama ni Me anaweza kuiuza au kuigeuza ni gheto (unga humo humo, bangi humo humo n.k.)
3. Lakini hapo uliposema Mpe ELIMU ya ufundi au elimu kwa ujumla wake umenena vyema kabisa 100%. Baada ya kumpa elimu, sasa yeye atachagua mwenyewe kusuka au kunyoa. Mpe uwezo huko kichwani mwake ili aweze kufanya maamuzi sahihi na awe tayari kuwajibika kwa matokeo yatakayotokea kutokana na maamuzi yake binafsi.
 
Mkuu kila mtu ana namna yake ya malezi. Wapo wanaojenga nyumba hadi za wajukuu na wapo ambao hawawapeleki shule kusoma degree. Kuna mzee mtoto akimaliza form four anakuwa utingo wa mafuso yao ya nyumbani akizoea anapewa fuso lake aanze mapambano. Na wote wapo vizuri.
 
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.

Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani​

Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto wetu. tuwekeze kwenye mali zaidi kuliko kuwalipia ada mamilioni mwisho wa siku wanarudi nyumbani wakiwa hawawezi hata kujitegemea
Mifumo ya nchi mibovu unategemea nini
Kama mnaona elimu haina faida fungeni madarasa na wapeni watu wafugie kuku kama tatizo ni elimu
 
Naona una wivu tu na hiyo elimu, unaonekana hauna masterz kisha unapata mshahara wa laki 5 au 6 so unamuona mwenye Masterz kama mjinga tu.

Sikiliza mkuu kuna form IV leavers wengi saaana na darasa la 7 wamekuburuza kimaisha kama akina Harmonize, Musukuma n.k anayetoa riziki na kipato cha mtu ni Mungu ndo maana tunawasihi sana vijana kuwa na utulivu ktk maisha, wasiwe na matarajio makubwa saana sababu kila mtu ameandikiwa kufanikiwa kwa wakati wake na kwa namna yake. Maisha hayapo level kwamba ukiwa na umri fulani utakuwa hatua fulani au ukiwa na elimu fulani utakuwa hatua fulani.

Ukijiona una uhakika wa kula, kulala na kuvaa basi mshukuru Mungu. Yule ambae hana uhakika huo tambua kuna majira yake yatafika tu, hawezi kuwa hivyo milele.
Hii point ya kuchukulia mkopo
 
Ni kawaida mtu mwenye ngozi nyeusi akiwa na uhakika wa kula na kulala kumuona asiye na uhakika wa kula na kulala ni mvivu na mzembe.

Hii ngozi ni kama ina laana.
Umepima vipi hiyo Laana?

Jisemee mwenyewe, kuwa una laana na imenza kukutafuna.

Na ukemewe kwa nguvu zote za dunia hii na Ushindwe.
 
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.

Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani​

Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto wetu. tuwekeze kwenye mali zaidi kuliko kuwalipia ada mamilioni mwisho wa siku wanarudi nyumbani wakiwa hawawezi hata kujitegemea
Dhima ya Elimu: Ni binadamu kuweza kuyatawala Maisha yetu

Kuna tofauti ya kusoma na kuelimika ie. ELIMU ya makaratasi na elimu ya mtaani...
 
Back
Top Bottom