1. Toa ushauri wako kwao.INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI
Watu wasomee ujuzi siyo kukariri kusoma business administration wakati Baba yako hana hata hardware.INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.
Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto wetu. tuwekeze kwenye mali zaidi kuliko kuwalipia ada mamilioni mwisho wa siku wanarudi nyumbani wakiwa hawawezi hata kujitegemea
Anachomaanisha kama huna ajira ya kumpa mwanao ni bora ukamjengea nyumba na ukampa elimu ya ufundi kuliko kutumia mamilioni kumsomesha hadi masters halafu asiweze hata kulipa chumba cha kupanga.Naona una wivu tu na hiyo elimu, unaonekana hauna masterz kisha unapata mshahara wa laki 5 au 6 so unamuona mwenye Masterz kama mjinga tu.
Sikiliza mkuu kuna form IV leavers wengi saaana na darasa la 7 wamekuburuza kimaisha kama akina Harmonize, Musukuma n.k anayetoa riziki na kipato cha mtu ni Mungu ndo maana tunawasihi sana vijana kuwa na utulivu ktk maisha, wasiwe na matarajio makubwa saana sababu kila mtu ameandikiwa kufanikiwa kwa wakati wake na kwa namna yake. Maisha hayapo level kwamba ukiwa na umri fulani utakuwa hatua fulani au ukiwa na elimu fulani utakuwa hatua fulani.
Ukijiona una uhakika wa kula, kulala na kuvaa basi mshukuru Mungu. Yule ambae hana uhakika huo tambua kuna majira yake yatafika tu, hawezi kuwa hivyo milele.
Ni sahihi lakini pia mtu mwenyewe afanye juhudi/apambane huku akimuomba Mungu amfungulie milango ya mapito yake. Mtu asikae kuingojea siku/riziki aliyopangiwa na Muumba wake kwani haijui siku wala saa. Kwa hiyo wakati ndo sasa - amka pambana.Naona una wivu tu na hiyo elimu, unaonekana hauna masterz kisha unapata mshahara wa laki 5 au 6 so unamuona mwenye Masterz kama mjinga tu.
Sikiliza mkuu kuna form IV leavers wengi saaana na darasa la 7 wamekuburuza kimaisha kama akina Harmonize, Musukuma n.k anayetoa riziki na kipato cha mtu ni Mungu ndo maana tunawasihi sana vijana kuwa na utulivu ktk maisha, wasiwe na matarajio makubwa saana sababu kila mtu ameandikiwa kufanikiwa kwa wakati wake na kwa namna yake. Maisha hayapo level kwamba ukiwa na umri fulani utakuwa hatua fulani au ukiwa na elimu fulani utakuwa hatua fulani.
Ukijiona una uhakika wa kula, kulala na kuvaa basi mshukuru Mungu. Yule ambae hana uhakika huo tambua kuna majira yake yatafika tu, hawezi kuwa hivyo milele.
Mkuu embu twende mbele turudi nyuma, tuongee kiuhalisia. Kila unachowekeza kwa mtoto huwa kinakuja na matokeo chanya?Anachomaanisha kama huna ajira ya kumpa mwanao ni bora ukamjengea nyumba na ukampa elimu ya ufundi kuliko kutumia mamilioni kumsomesha hadi masters halafu asiweze hata kulipa chumba cha kupanga.
Mkuu vijana wanapambana saana, vijana wana degree sasa hivi ndo wanaongoza kwa udalali, wanauza simu kkoo, wengine wapo machinga ktk mitumba, wengine bodaboda. Ni ngumu sana kunielewa kama mtu hujawahi kukaa kitaa kisha ukatoboa.Ni sahihi lakini pia mtu mwenyewe afanye juhudi/apambane huku akimuomba Mungu amfungulie milango ya mapito yake. Mtu asikae kuingojea siku/riziki aliyopangiwa na Muumba wake kwani haijui siku wala saa. Kwa hiyo wakati ndo sasa - amka pambana.
Swadaqta!Naona una wivu tu na hiyo elimu, unaonekana hauna masterz kisha unapata mshahara wa laki 5 au 6 so unamuona mwenye Masterz kama mjinga tu.
Sikiliza mkuu kuna form IV leavers wengi saaana na darasa la 7 wamekuburuza kimaisha kama akina Harmonize, Musukuma n.k anayetoa riziki na kipato cha mtu ni Mungu ndo maana tunawasihi sana vijana kuwa na utulivu ktk maisha, wasiwe na matarajio makubwa saana sababu kila mtu ameandikiwa kufanikiwa kwa wakati wake na kwa namna yake. Maisha hayapo level kwamba ukiwa na umri fulani utakuwa hatua fulani au ukiwa na elimu fulani utakuwa hatua fulani.
Ukijiona una uhakika wa kula, kulala na kuvaa basi mshukuru Mungu. Yule ambae hana uhakika huo tambua kuna majira yake yatafika tu, hawezi kuwa hivyo milele.
Hii hali itakuwa mara mbili zaidi miaka 10 ijayo, elimu itabaki kuwa muhimu milele tena watu wasome kweli...Ila nchi za kiafrica ni balaa kama Nijeria ni mfano zaidi na hapo Kenya balaa lishaanza.Mkuu embu twende mbele turudi nyuma, tuongee kiuhalisia. Kila unachowekeza kwa mtoto huwa kinakuja na matokeo chanya?
Hakuna mafundi magari, fridge n.k hawana kazi wanapambana mtaani? Hakuna wazazi wanaofungulia watoto wao biashara na bado zinakufa?
Kuna mambo ndani ya Taifa bado hayajakaa sawa ktk kuinua uchumi wa vijana.
Na ukimuomba connection cm hazipokelewii 😅😅 ila wakijaa uku ss nikusimanga vijana wasio na ajira na wasomi wa nchi.Ni kawaida mtu mwenye ngozi nyeusi akiwa na uhakika wa kula na kulala kumuona asiye na uhakika wa kula na kulala ni mvivu na mzembe.
Hii ngozi ni kama ina laana.
Hayo ndo mapambano yenyewe mkuu. Usishangae hadi huku vijijini kwetu sasa vijana wasomi wapo na kazi inaendelea boda, kilimo, ufugaji, mikopo/ujasiriamali, saidia fundi, migahawa etc. (Hoja ya kiwango cha elimu wameiweka pembeni kwanza - wanapiga kazi).Mkuu vijana wanapambana saana, vijana wana degree sasa hivi ndo wanaongoza kwa udalali, wanauza simu kkoo, wengine wapo machinga ktk mitumba, wengine bodaboda. Ni ngumu sana kunielewa kama mtu hujawahi kukaa kitaa kisha ukatoboa.
Serikali ibadilishe mitaala, wasomi watoke wakiwa na uwezo wa kufanya field works instead of kusubiria ajira. Mitaala ya vyuo bado ni ile ile ya 80s wakati huo serikali ilikuwa na shida ya wasomi, kwa sasa wasomi ni wengi kuliko mahitaji why serikali haibadilishi mitaala?INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.
Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani
Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto wetu. tuwekeze kwenye mali zaidi kuliko kuwalipia ada mamilioni mwisho wa siku wanarudi nyumbani wakiwa hawawezi hata kujitegemea
Elimu siyo njia ya kuukwepa umaskini bali ni silaha ya kupambana nao.INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.