Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

Tatizo elimu yetu ya magumashi na lugha inatuangusha, ila kwa mtu mwenye elimu kuanzia degree mpka master's kukosa kazi ya kufanya kwenye hii dunia ya utandawazi ni uzembe!
 
Sijuwi kwa wengine huko, hapa Tz biashara hutozwa kodi kabla haijaanza.
 
Hapo nimekubali kabisa 100% na laiti wanaofikiria future ya watoto wao wangelizingatia hivyo. Mfumo uliopo kama ulivyobainisha ni kwamba umeshakosewa tangu mwanzo na kusahihisha tena ni next to impossible - watoto sasa ni Adults halafu labda wamezaliwa kwenye michepuko n.k. - hawana uchungu na mali walizozikuta na kuachiwa kiulaini.
 
Mleta mada inabidi wewe ndiye ubadilishe mtazamo wako.

Lengo la watu kwenda kusoma sio kwa ajili ya kupata pesa bali kuchota maarifa ili kuja kuweza kukomboa jamii inayowazunguka au kwa ajili tu ya yeye kufahamu tu kuhusu hiyo taaluma.

Ndio maana utakuta wengine wana degree mpaka tano tofauti tofauti.
 
Tatizo elimu yetu ya magumashi na lugha inatuangusha, ila kwa mtu mwenye elimu kuanzia degree mpka master's kukosa kazi ya kufanya kwenye hii dunia ya utandawazi ni uzembe!
Usiwabeze au kuwapuuza mkuu. Hilo linawezekana kabisa hususan pale msomi wa leo anapokuwa hana hata pa kuanzia na ukichanganya na kuona aibu kwamba anadhalilika basi baadhi yao hufa na tai zao shingoni.
 

Swali langu je unaikomboa vipi jamii kama wewe mwenyewe huwezi kujikomboa ?

Wewe mwenyewe ni tegemezi huwezi kujitegemea kupata mahitaji yako ya msingi. Je unawezaje kuwakomboa wengine ?
 
Ila huwa nashauri watu wasisome masters kama hawana shughuli rasmi wanayoifanya ili wakienda masters wachukue masters ya iyo shughuli ili wabobee huko.
Ni sahihi kabisa 100% mkuu. Sio mtu anajijazia mavyeti kwa umaarufu halafu mwisho wa siku anaanza kulia lia eti hana ajira ilhali ana masters in so and so.
 
Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tsh
Kabisa mkuu
 
Hii nchi Ina matahira wengi sana... Ndio mana gepu la maendeleo ya TZ na Kenya linazidi kukua kubwa. Kenya kwenye wasomi wanajitahid sana.

Watz wakishiba mihogo na energy wanangalia wadogo zao waliosoma na kuwatolea mifano mibaya na masimamango. Miksa kuwaroga wasitoboe mana watakuwa hawakai
 
Ajira ni fursa. Fursa na population havikai sambamba... Unless population ile iwe controlled. Hata kama Leo watu wakipata hizi livelihood skills kupitia veta miaka kadhaa mbele Ngoma itawamba tu. Kwan hakuna mafundi wa veta humu wanatafuta fursa za kufanya?
 
Inategemeana na scope ya serikali kipindi hiko, as i said mitaala ilikuwa structured kufidia mahitaji ya nchi wakati huo. But mahitaji ya kipindi hiki yakoje?
Obvious yamechange , but mitaala haijachange. Na shida ndio inaanza hapa

Scope ya nchi na wasomi waliopo vinapishana mbali mno
 
Mm naona, kwa perspective yako! Inatakiwa ifanyike assessment ya kutosha juu ya risk za maendeleo hasa ya teknolojia. Hivi unakubaliana na mm kwamba maendeleo ya teknolojia yanachagiza uchache wa fursa kwa namna Fulani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…