Inawezekana Africa ndio bara la watu wakarimu zaidi duniani

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
 
Ukarimu wa waafrika umefutika , sasa ukiwa mkarimu na kuishika na watu vizuri ikiwa ni pamoja na kujuliana hali , unaitwa ''MSWAHILI''

Waafrika sasa hawana ukarimu kutokana na ubepari , kila mtu amekuwa mbinafsi thus why hata kusaidiana hakuna tena .
 
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Ni ujinga siyo ukarim
 
Hapo kwenye ukalimu weka ufisadi, hao watu hawapewi bure hizo rasilimali.
Hata ukiwa na pesa mwafrika ni vigumu kuweza kununua kisima cha mafuta uarabuni au mgodi wa madini Urusi.
 
Kuna tofauti ya ukalimu na ujinga, 90% ya viongozi wa africa wana Ujinga unaofanana. We uliona wapi mzazi anapenda familia ya jirani kuliko yake iliompa heshima ya kuitwa mzazi?
Waafrika sio wajinga na hakuna mjinga afrika , chunguza hakuna mwafrika halisi mwenye tabia za ubinafsi so ukiona mbinafsi basi elimu imemuharibu ...Kama wafrika wangekuwa wabinafsi hata kutawalika ingeshindakana , kwa taarifa ni kwamba wakoloni licha ya kuwa watu weupe wenye kustajabisha kwenye jamii ya waafrika , walipokelewa bila ya kutumia ubabe ..Baadaye, wao ndiyo walilete ubabe ila afrika unakaribishwa .

Afrika kuna jamii za porini kama Hadzabe , licha ya kujitenga kwao bado wanapokea wageni bila ya kuwadhuru.
 
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Naamini neno "UKARIMU" umelitumia kwa madhumuni mema tu.
NB:UKARIMU wa muafrika hasa mtanzania,hauna tofauti na ujinga,ujuha, uzuzu,uwendawazimu, upumbavu na umasikini wa fikra.
 
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Ukarimu au UFISADI, UDHULUMATI, UBINAFSI.
 
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Haina tofauti na mtu aliyekwenda wodini au mortuary ukapora Mali za wagonjwa na maiti. Hata akili ya kawaida haiji kabisa.

Wageni wametukuta maiti na wagonjwa, wanapora watakavyo. Wanauwa, wanamiliki wanawekeza.

Uarabuni hata duka hufungui bila ubia na mwenyeji (muarabu).

Dada mmoja alikataliwa kabisa kusoma degree ya udaktari Oman japo yeye ni muarabu ila amezaliwa Tanzania na baba yake ni Mtanzania waliohamia huko. Alikataliwa sababu wanaosoma ni raia tu.

Ndiyo maana north Africa yote miaka ya 500 AD walijaa watu weusi tupu kuanzia Libya, Tunisia, Egypt, Sudan ila leo hata waliopo bila kujali ni waislam au WAKRISTO wanafyekwa kwa vita. Ushahidi ni Sudan (RSF na serikali).

Waafrica hatujui kujipigania, tunajua kulalamika ama ukiridhika.
 
Hili suala ni gumu sana kuwaelewesha watu kama baba-mwajuma
 
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Eti Rostam ni Mtanzania. Inachekesha sana kwa kweli.
Ili kukomesha hii hali ingetakiwa rasilimaliza eneo husika zimilikiwe na wenyeji na ziwe chini ya chifu wa eneo husika kama Uganda. Wenyeji wa eneo husika wawe na maamuzi ya mwisho na rasilimali zao na siyo serikali iliyoko Dodoma ambayo hata mtu toka Comoro akiukwaa urais atawauzia ndugu zake anavyotaka
 
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Na huo ukarimu ndo umeifanya Afrika kuwa Bara maskini kuliko yote. Ukisifiwa kwamba wewe ni mkarimu shtuka unaibiwa au unaliwa. Ila ukisifiwa kwamba wewe ni mstaarabu hapo ni upo sawa.

Afrika hatuhitaji kusifiwa kwa ukarimu bali tunatakiwa tusifiwe kwa ustaarabu.
 
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyomk
Mkuu ujinga, lack of self-esteem na ubinafsi huwezi kuita ukarimu. Huo ukarimu ni kwa ngozi nyeupe tu ila wenzio wenye ngozi nyeusi huwafanyii huo ukarimu?
 
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Naivety, hawana umoja, hawana uzalendo, wanababsika na wageni nakudharau ndugu zao.

Wakipewa pipi, dini, golori, majina ya kiziungu, kiarabu wako tayari kuuza, kuteka, kuua, kulawiti kaka na dada zao.
 
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Africa ni bara la watu wajinga duniani
 
sidhani kama ni ukarimu bali ni ujinga, fikiria mtu kama rostamu, dewji & co. wanavyofanya hapa tanzagiza kuingilia siasa kufanya wanavyotaka, sasa geuza picha wewe kama mwafrika muslim tena uzaliwe tehran au sijui pakistan halafu uwe tajiri hadi uingilie siasa za akina ayatola au sijui mullah na hata kupanga nani awe kiongozi na wapi kumilikishwa rasilimali zote za irani halafu hapo hapo una wairani wanakutetea as a black muslim, halafu unajibizana kwenye vyombo vya habari na wairani mpka unaongea kwenye sekretariati ya islamic republic of irani na unasikilizwa …
 
Back
Top Bottom