Inawezekana Africa ndio bara la watu wakarimu zaidi duniani

Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.

Ukarimu au ujinga na utumwa?
Tofauti hayo maneno.

Kwani mnaharakia nini mpaka mtoe yote hayo?
 
Hili suala ni gumu sana kuwaelewesha watu kama baba-mwajuma
Kwani Tanzania unafungua bila ubia? Mbona hata hapa sheria ipo hivyo hivyo ili uwe muwekezaji inatakiwa Hisa asilimia kadhaa Amiliki mzawa?

Na kama mweusi una Hela why usipewe hizo Nchi? Dubai si ndio wafanyabiashara wa Africa na wanasiasa wanamiliki mahekalu huko na property za kutosha?

Dangote Hajawekeza Latin America nchi za kiarabu na kwengineko?

Dangote Akifungua kiwanda cha Cement Iraq kwani hakuna wazawa wa Iraq wanaoweza kufungua Kiwanda cha cement?

Wengi wenu humu watupu Abc za biashara hajui, mtu hata genge huna ila upo busy kukandia tu uwekezaji wa watu, bakini tu kwenye siasa zenu za CCM na Chadema.
 
sidhani kama ni ukarimu bali ni ujinga, fikiria mtu kama rostamu, dewji & co. wanavyofanya hapa tanzagiza kuingilia siasa kufanya wanavyotaka, sasa geuza picha wewe kama mwafrika muslim tena uzaliwe tehran au sijui pakistan halafu uwe tajiri hadi uingilie siasa za akina ayatola au sijui mullah na hata kupanga nani awe kiongozi na wapi kumilikishwa rasilimali zote za irani halafu hapo hapo una wairani wanakutetea as a black muslim, halafu unajibizana kwenye vyombo vya habari na wairani mpka unaongea kwenye sekretariati ya islamic republic of irani na unasikilizwa …
Tajiri mkubwa Saudia ni mwarabu mwenye Asili ya Ethiopia, ma CEO wakubwa na wanamiliki makampuni yenye thamani ya mamia ya matrilioni ya hela ni weusi huko Arabuni.

In short watu weusi powerfull wenye ushawishi mkubwa wapo middle East kuanzia royal families, Wafanyabiashara hadi ma CEO.

Then unakuta mtu bongo na chuki zake hata Kenya hajafika anamwaga pumba kama hizi.
 
Eti Rostam ni Mtanzania. Inachekesha sana kwa kweli.
Ili kukomesha hii hali ingetakiwa rasilimaliza eneo husika zimilikiwe na wenyeji na ziwe chini ya chifu wa eneo husika kama Uganda. Wenyeji wa eneo husika wawe na maamuzi ya mwisho na rasilimali zao na siyo serikali iliyoko Dodoma ambayo hata mtu toka Comoro akiukwaa urais atawauzia ndugu zake anavyotaka
Kihistoria Pwani ya Africa Mashariki Wabantu wamewakuta Wairan,

Tanzania ki asili kabisa hakukuwa na watu wakiishi, watu wa kwanza kabisa kuishi Pwani ya Afrika mashariki ni makabila ya kushite, kama wa rangi, wairaqi, na wengineo ambao walitrade na wafanyabiashara wa Middle East, hii inaelezewa na wana historia wengi juu la Taifa la Rhapta

Unaweza ukaisoma hapa

Hio ni karne ya kwanza hakukua na Wabantu Coast ya Africa mashariki, then wakaja wa Iran wakaanzisha Empire ya Kilwa ika fanya Pwani ya Africa kuwa na hela na biashara za maana na wengine wakahamia. Then wakaja wa Oman na Zanzibar Empire na ndio wakaja wahindi na wengineo.

Hao kina Rostam (wabulushi) MABABU zao ndio waliowanusuru watu wa Pwani wasimalizwe na wareno, makabila ya Pwani yalipigana sana na wareno na mara zote wakapigwa, hata Ulipokuja msaada toka Uturuki (ottoman) pia haukusaidia waliendelea kupigwa mpaka Askari wa kibulushi toka Oman walipokuja ndio waka organise jeshi na kumtoa Mreno Pwani ya Africa.

So mbantu kumsema mtu mwenye Asili ya Iran hapa Tanzania si kwake wakati babu yake alipokuja kamkuta babu wa mwenzake si sawa. I shini kwa amani acheni ubaguzi.
 
Acha kuandika mambo ya hovyo na ajabu ajabu yanayoonyesha umaamuma wako katika historia.
 
Tajiri mkubwa Saudia ni mwarabu mwenye Asili ya Ethiopia, ma CEO wakubwa na wanamiliki makampuni yenye thamani ya mamia ya matrilioni ya hela ni weusi huko Arabuni.

In short watu weusi powerfull wenye ushawishi mkubwa wapo middle East kuanzia royal families, Wafanyabiashara hadi ma CEO.

Then unakuta mtu bongo na chuki zake hata Kenya hajafika anamwaga pumba kama hizi.

mwarabu mwenye asili ya ethiopia, how? na kwa nini neno mwarabu kama ni muethiopia?

i am confused …
 
Kwani hao kina Mohammed Dewji si Waswahili wenye Asili ya India?

Mtu yoyote anayeongea kiarabu ni mwarabu bila kuangalia asili na rangi yake, wa Sudan ni weusi kuliko hata watanzania ila ni waarabu.

Ahmad Hawsawi CEO wa Siemens Saudi Arabia, Hawsawi maana yake ni Hausa aka asili yake ni Nigeria, ila ni mwarabu wa Saudia na Uraia wake ni Saudia ila asili ni Mnigeria
images (85).jpeg

Al amood ni Mwarabu wa Saudia ila Asili yake ni Ethiopia, hata wakati Salmani mwana mfalme wa Saudia alipofungia mabilionea wa Saudi kwenye Hoteli Ethiopia walimwambia arudi kwao watampokea.

Al Amood wanapokezana na Dangote kama watu weusi wenye Hela zaidi Duniani.

images (86).jpeg

Kuna uzi humu wamejaa watu weusi kibao niliweka ambao wapo middle East kuanzia wafalme na familia za kifalme, wanamuziki, wafanyabiashara wakubwa hadi Ma CEO,
 
Acha kuandika mambo ya hovyo na ajabu ajabu yanayoonyesha umaamuma wako katika historia.
Mimi nimeweka ushahidi wangu wa Historia ya Raphta ambayo wana historia wengi wameelezea haina shaka, na wewe unaweza ukaweka historia yako kwa ushahidi kupinga nilichosema? Ama unatumia utashi wako tu kupinga?
 
Kwani hao kina Mohammed Dewji si Waswahili wenye Asili ya India?

Mtu yoyote anayeongea kiarabu ni mwarabu bila kuangalia asili na rangi yake, wa Sudan ni weusi kuliko hata watanzania ila ni waarabu.

Ahmad Hawsawi CEO wa Siemens Saudi Arabia, Hawsawi maana yake ni Hausa aka asili yake ni Nigeria, ila ni mwarabu wa Saudia na Uraia wake ni Saudia ila asili ni Mnigeria
View attachment 3448048

Al amood ni Mwarabu wa Saudia ila Asili yake ni Ethiopia, hata wakati Salmani mwana mfalme wa Saudia alipofungia mabilionea wa Saudi kwenye Hoteli Ethiopia walimwambia arudi kwao watampokea.

Al Amood wanapokezana na Dangote kama watu weusi wenye Hela zaidi Duniani.

View attachment 3448050

Kuna uzi humu wamejaa watu weusi kibao niliweka ambao wapo middle East kuanzia wafalme na familia za kifalme, wanamuziki, wafanyabiashara wakubwa hadi Ma CEO,

hiyo tafsiri yako ya mwarabu iishie tu hapo hapo tanzagiza nje ya hapo angalia usije pata matatizo na waarabu wenyewe, uarabu ni ethnic group kama vile black afrikans, europeans, chinese au sijui vietnamese, na idadi ya ethnic arabs duniani ni kama milioni 300 na ushehe tu i.e dunia hii kuna waarabu kama milioni 320 tu.

mfano afrika ya kaskazini nchi kama tunisia au algeria siyo wote ni waarabu kuna waberba pia ambao ndiyo waasilia wa hilo eneo kabla ya waarabu kulivamia waliotokea arabian peninsula huko na hata wana lugha yao ya kiberba ingawaje leo hii wanaongea kiarabu sababu ya ukoloni na dini ya kiislamu lkn siyo waarabu.

hivyo kuongea kiarabu hakukufanyi uwe mwarabu, ni kama ukiongea kirusi hakukufanyi wewe mrusi au ukingea kiingereza hakukufanyi wewe kuwa ethnic english ...
 
Sisi kuna ujinga,kama tangu Uhuru viongozi wetu wanaenda kutibiwa nje ya Nchi na kila Rais anayekuja anafanya the same....... Africa kuna mtindio wa ubongo
 
hiyo tafsiri yako ya mwarabu iishie tu hapo hapo tanzagiza nje ya hapo angalia usije pata matatizo na waarabu wenyewe, uarabu ni ethnic group kama vile black afrikans, europeans, chinese au sijui vietnamese, na idadi ya ethnic arabs duniani ni kama milioni 300 na ushehe tu i.e dunia hii kuna waarabu kama milioni 320 tu.

mfano afrika ya kaskazini nchi kama tunisia au algeria siyo wote ni waarabu kuna waberba pia ambao ndiyo waasilia wa hilo eneo kabla ya waarabu kulivamia waliotokea arabian peninsula huko na hata wana lugha yao ya kiberba ingawaje leo hii wanaongea kiarabu sababu ya ukoloni na dini ya kiislamu lkn siyo waarabu.

hivyo kuongea kiarabu hakukufanyi uwe mwarabu, ni kama ukiongea kirusi hakukufanyi wewe mrusi au ukingea kiingereza hakukufanyi wewe kuwa ethnic english ...
Africa Kaskazini wote sio waarabu, Berbers na waarabu woTe sio waarabu, anaitwa mwarabu ama berbers sababu anaongea kiarabu ama ki maghreb/Amazingh. Mwarabu ni mtu anaetoka ile peninsula tu, ndio ethnically mwarabu ila kwa definition ya sasa yoyote anayeongea kiarabu ni mwarabu, ndio maana Syria, Palestine, Lebanon, baadhi ya Iraq, Afrika kaskazini wote wanaitwa waarabu japo Ethnically sio waarabu.

Na hio sio definition yangu bali ya Michael Aflaq na waarabu kwa pamoja wakati wanaanzisha pan Arab movement kutafuta uhuru nchi za kiarabu ambayo ni movement pacha ya Pan African
 
siyo kweli, kuna ethnic arabs wanajulikana, hao wengine wote wanaongea tu kiarabu na sababu ya dini ya Kiislamu wamechukuwa utamaduni wa kiarabu pia lkn siyo waarabu, mfano wasomali siku zote hujiona waarabu wakiwa huku kwetu mpaka siku wakutane na waarabu wenyewe origin na kushushuliwa ndiyo huanza safari ya kujitambua, na believe me nimekutana na wasomali wengi wa aina hiyo.

hayo mambo ya sijui pan arab au pan afrikanism ni communism tu, ni mambo ya kisiasa na kama ism nyingine yoyote ile ambayo lengo lake kuu ni vita against Christianity.

watu wanaotawala dunia au globalist wanatambua kwamba ili waweze kutawala dunia nzima ni lazima kwanza waondoe Christianity, Christianity ndiyo kizingiti kikuu kilicho mbele yao hivyo wanatumia communism kupambana na Christianity, na Christianity ikianguka tumekwisha na hii ni wote hata kwa Muslims pia hata kama ni ngumu kwa wao (Muslims) leo hii kuliona hilo kwa maana bado wanatumika lkn end game ikikamilika watawamaliza pia kwa maana hawatahitajika tena ...
 
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Wapo wageni wanaovuna hizo rasilimali kwa njia halali hivyo kulipa Kodi na kukuza uchumi wa nchi husika ila pia wapo wageni wanaomilikishwa hizo mali na watawala fisadi na dhalimu.
 
Hizo nchi nilizokutajia hata kwa njia halali mtu mweusi kupewa rasilimali avune jasho litakota mpaka kwenye kende.
 
Nilikuwa natafuta maana ya "ukarimu" sikuiona kwenye bandiko lako nikahisi ulitaka kuandika "wajinga" badala yake.
 
Back
Top Bottom