Ni ujinga siyo ukarimSidhani kama inawezekana mtu mweusi aende Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Waafrika sio wajinga na hakuna mjinga afrika , chunguza hakuna mwafrika halisi mwenye tabia za ubinafsi so ukiona mbinafsi basi elimu imemuharibu ...Kama wafrika wangekuwa wabinafsi hata kutawalika ingeshindakana , kwa taarifa ni kwamba wakoloni licha ya kuwa watu weupe wenye kustajabisha kwenye jamii ya waafrika , walipokelewa bila ya kutumia ubabe ..Baadaye, wao ndiyo walilete ubabe ila afrika unakaribishwa .Kuna tofauti ya ukalimu na ujinga, 90% ya viongozi wa africa wana Ujinga unaofanana. We uliona wapi mzazi anapenda familia ya jirani kuliko yake iliompa heshima ya kuitwa mzazi?
Naamini neno "UKARIMU" umelitumia kwa madhumuni mema tu.Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Ukarimu au UFISADI, UDHULUMATI, UBINAFSI.Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Haina tofauti na mtu aliyekwenda wodini au mortuary ukapora Mali za wagonjwa na maiti. Hata akili ya kawaida haiji kabisa.Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Hili suala ni gumu sana kuwaelewesha watu kama baba-mwajumaHaina tofauti na mtu aliyekwenda wodini au mortuary ukapora Mali za wagonjwa na maiti. Hata akili ya kawaida haiji kabisa.
Wageni wametukuta maiti na wagonjwa, wanapora watakavyo. Wanauwa, wanamiliki wanawekeza.
Uarabuni hata duka hufungui bila ubia na mwenyeji (muarabu).
Dada mmoja alikataliwa kabisa kusoma degree ya udaktari Oman japo yeye ni muarabu ila amezaliwa Tanzania na baba yake ni Mtanzania waliohamia huko. Alikataliwa sababu wanaosoma ni raia tu.
Ndiyo maana north Africa yote miaka ya 500 AD walijaa watu weusi tupu kuanzia Libya, Tunisia, Egypt, Sudan ila leo hata waliopo bila kujali ni waislam au WAKRISTO wanafyekwa kwa vita. Ushahidi ni Sudan (RSF na serikali).
Waafrica hatujui kujipigania, tunajua kulalamika ama ukiridhika.
Eti Rostam ni Mtanzania. Inachekesha sana kwa kweli.Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Na huo ukarimu ndo umeifanya Afrika kuwa Bara maskini kuliko yote. Ukisifiwa kwamba wewe ni mkarimu shtuka unaibiwa au unaliwa. Ila ukisifiwa kwamba wewe ni mstaarabu hapo ni upo sawa.Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Mkuu ujinga, lack of self-esteem na ubinafsi huwezi kuita ukarimu. Huo ukarimu ni kwa ngozi nyeupe tu ila wenzio wenye ngozi nyeusi huwafanyii huo ukarimu?Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyomk
Naivety, hawana umoja, hawana uzalendo, wanababsika na wageni nakudharau ndugu zao.Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Africa ni bara la watu wajinga dunianiSidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za aina hiyo.
Kuna tofauti kubwa kati ya ukarimu na ujinga, hili bara limejaa viongozi wajinga na matapeli tupuSasa huo ni ukarimu au viongozi wake ni dwarf wa akili