figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri kutoka Serikalini? Nini kilifanya Freeman Mbowe awalazimishe CHADEMA kuingia kwenye maridhiano yasiokuwepo?
Kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesikika akisema kwamba kuna watu waliahidiwa Vyeo Serikalini kutoka CHADEMA.
Ni wakina nani hao ambao waliahidiwa vyeo?