Inawezekana Freeman Mbowe ndiye aliahidiwa kupewa Ubunge wa kuteuliwa ili CHADEMA isimsumbue Rais Samia?

Inawezekana Freeman Mbowe ndiye aliahidiwa kupewa Ubunge wa kuteuliwa ili CHADEMA isimsumbue Rais Samia?

Salaam Wakuu,

Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri kutoka Serikalini? Nini kilifanya Freeman Mbowe awalazimishe CHADEMA kuingia kwenye maridhiano yasiokuwepo?

Kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesikika akisema kwamba kuna watu waliahidiwa Vyeo Serikalini kutoka CHADEMA.

Ni wakina nani hao ambao waliahidiwa vyeo?
Kwa aina ya wananchi waliopo Tanzania, Mimi ningekuwa ni kiongozi wa Chadema na nimeahidiwa cheo kikubwa serikalini, ningekubali bila kugeuka nyuma
 
Sasa hapa Paschal umeandika nini?unakataa sio nusu mkate hapohapo unakubali kuwa CCM hawasimamisha wagombea imara sehemu walizokubaliana ,Je hiyo sio nusu mkate indirectly?
Kiukweli uelewa wa baadhi yetu humu ni issue kuhusu hii issue ya nusu mkate. TL anaita ujinga na kuwatukana wenzeka wajinga kwa kutafsiri nusu mkate ni serikali ya mseto!. No!. Nusu mkate ni kuna maeneo ya strong holds za upinzani and in fact upinzani wangeshinda lakini CCM, wakafanya mambo!. Nusu mkate ni ya identfies haya maeneo na kuachiana, CCM haitafanya mambo tena, hivyo Freeman, Lissu, Mnyika, Zitto, Mbatia, Lissu na wapinzani wengine, watamegewa mkate ili na wao wale, sio CCM kula mkate mzima wao CCM, peke yao, bali sasa huo mkate utagawanywa sehemu mbili kila mmoja sasa atapata nusu mkate.
Tukubali tukatae kwa Sasa nchini ni TL tu ndiye ka prove ni Mwanasiasa mkweli kwa upinzani na nchi nzima
Mkuu baro , usemayo ni kweli kabisa, tena wewe hili ndio imeliona leo, tuangalie sisi wenzako tuliliona lini na tulishauri nini Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Ila kwa uchaguzi wa 2025 kwa vile mgombea wa CCM ni mwanamke, nimeshauri vyama visimamishe wagombea wanawake, Kafrika sio vizuri na sio heshima mwanaume kushindana na mwanamke, ni aibu, hivyo nimeshauri Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

Na kama Chadema wameamua lazima wasimamishe mgombea mwanaume, then asiwe TL, hana breki, atamuogesha kwa ... Hivyo nimeshauri Kuelekea 2025 - Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...

P
 
Tuliza kalio kijana dawa iingie, ukilichezesha afu simdano ikikatikia humo usitulaumu.
 
Lakini tusimnyime sifa yake pia huyo mwingine. Samia ni mzuri sana kwenye udanganyifu. Hata Magufuli alishindwa kabisa kugundua udanganyifu mkubwa alio nao huyu mama. Nadhani hizo Ph.D. nyingi anazo tunukiwa zitakuwa zinahusiana na uwezo wake wa kudanganya watu.
Samia is a woman, remember. Kuigiza na kukuingiza king ni jambo la dk kadhaa tu.
 
Chadema ilikuwa na think tanker wengi sana lakini siasa za ghiliba zimewaondoa hasa FAM lakini Kila jambo Lina Mwisho

Mwaka 2011 PASCAL MAYALA Alikuja na Uzi wa Kirusi ndani ya Chadema na anakijua ni FAM na alisema bila hicho Kirusi Chadema haifiki popote Leo yanaonekana
Mkuu chama kina uongozi na wafuasi wake.Viongozi wanatokana na hao wafuasi wao yaani wanachama.
Lakini ikifika muda kiongozi au uongozi ukajipa Umungu mtu kuwa bila mimi hakuna Chadema hilo sio sawa kabisa.

Hawa viongozi au vigogo hawakushuka kama malaika, walifinyagwa hadi wakapata sifa za kuongoza na wamekifanyia mengi Chadema.
Lakini kulewa madaraka ndio kitu ambacho hakivumiliwi.
Chama kina katiba,kina mfumo wa uongozi,kina uzoefu wa uongozi kama chama kikuu cha upinzani.
Ni aibu kuona "mwambata" anapiga "vijembe*chama chake kwenye mikutano ya hadhara,badala ya kutumia vikao maalum
So sad.
 
Kiukweli uelewa wa baadhi yetu humu ni issue kuhusu hii issue ya nusu mkate. TL anaita ujinga na kuwatukana wenzeka wajinga kwa kutafsiri nusu mkate ni serikali ya mseto!. No!. Nusu mkate ni kuna maeneo ya strong holds za upinzani and in fact upinzani wangeshinda lakini CCM, wakafanya mambo!. Nusu mkate ni ya identfies haya maeneo na kuachiana, CCM haitafanya mambo tena, hivyo Freeman, Lissu, Mnyika, Zitto, Mbatia, Lissu na wapinzani wengine, watamegewa mkate ili na wao wale, sio CCM kula mkate mzima wao CCM, peke yao, bali sasa huo mkate utagawanywa sehemu mbili kila mmoja sasa atapata nusu mkate.

Mkuu baro , usemayo ni kweli kabisa, tena wewe hili ndio imeliona leo, tuangalie sisi wenzako tuliliona lini na tulishauri nini Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Ila kwa uchaguzi wa 2025 kwa vile mgombea wa CCM ni mwanamke, nimeshauri vyama visimamishe wagombea wanawake, Kafrika sio vizuri na sio heshima mwanaume kushindana na mwanamke, ni aibu, hivyo nimeshauri Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

Na kama Chadema wameamua lazima wasimamishe mgombea mwanaume, then asiwe TL, hana breki, atamuogesha kwa ... Hivyo nimeshauri Kuelekea 2025 - Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...

P
Nusu mkate ndio imesababisha upinzani kupotea na pia kugeukwa Kwa mujibu wa TL, CCM hawako tayari kukubali hayo mambo ni hadaa na hizo hadaa zipo tayari , TL yuko sahihi sana
Tunahitaji uwajibikaji katika nchi ila sio kwa siasa za kilaghai za nusu mkate ,nchi hii mambo ni mengi yanahitaji changamoto na WA kusaidia ni upinzani ila upinzani ikikubali kugaiwa Majimbo au vyeo na CCM hapo ni hatuna upinzani na watesi wetu wataongezeka na kupata nguvu maana hakuna wa kuwakemea ndio maana kwa Sasa nchini kabaki TL pekee
 
Waseme yote ila Mbowe ndiye anayeilinda Chadema. Huwezi kuleta uana harakati kwenye Chama cha siasa kwani utakiuka Miongozo ya Msajili wa vyama vya siasa kwa Msajili wa vya siasa. Yaani Chama cha Siasa kifanye mambo ya Club House ya akina Maria Sarungi si itafutwa mara moja. Ndio maana Tundu Lissu anaonekana kama mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa. Ndio CCM kuna mafisadi kama ambavyo Chadema kuna wachumia tumbo ila pia CCM kuna viongozi wengi wazuri kama ambapo Chadema kuna viongozi wenye busara.
Tofauti ya mwanaharaki na mwanasiasa nini Kama siasa hizi za Mbowe Chadema kinakufa mapema kabla jogooo hajawika mbowe juzi ameitisha maandamano akokosa watu zama hizi sio zama za Mawe za Kale watu wameshatambua Mbowe ni kibaraka wa CCM huku akifanya biashara kuongeza ukwasi
 
Salaam Wakuu,

Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri kutoka Serikalini? Nini kilifanya Freeman Mbowe awalazimishe CHADEMA kuingia kwenye maridhiano yasiokuwepo?

Kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesikika akisema kwamba kuna watu waliahidiwa Vyeo Serikalini kutoka CHADEMA.

Ni wakina nani hao ambao waliahidiwa vyeo?
Mbowe alitafutwa na Jiwe kumpa uwaziri akakataa sembuse ubunge? almost high level chadema leaders walitafutwa na machawa wa CCM, (high level machawa) ili kuwashawishi kuisaliti chadema kwa kuhongwa "mavyeo" wakakataa, leo hiyo story ya samia inatoka wapi?
 
Back
Top Bottom