Inawezekana Freeman Mbowe ndiye aliahidiwa kupewa Ubunge wa kuteuliwa ili CHADEMA isimsumbue Rais Samia?

Inawezekana Freeman Mbowe ndiye aliahidiwa kupewa Ubunge wa kuteuliwa ili CHADEMA isimsumbue Rais Samia?

Ni Mbowe ndio alipewa hizo ahadi hewa, ndio maana siku moja kwenye mkutano wa cdm akawa analeta swaga za kumtetea mama Samia, huku akiwa amelewa chakari. Nadhani ndio alikuwa na hilo fungu la hadaa.
Usisahau TL anabweka kwa vile MBOWE alikubali kuunga mkono Samia 2025 ili Chadema isiweke mgombea. Lissu akapinga na ukawa mwisho wa neno maridhiano
 
Je alichosema Lisu ni uongo? Maana wote ni mashahidi
Akiguswa Mbowe unakuwa mkali halafu mnataka mabdiliko
My point is nyinyi chawa mnataka Mbowe asiwe mwenyekiti, mnataka akae mtu atakayehongwa ili chadema ife! That is my point! Mbowe si mtu wa khongwa vyeo! kama ingelikuwa hivyo , zamani sana angelikuwa CCM na vyeo! it is rubbish thinking!!
 
Mkuu 'Msanii', ninajisikia hovyo sana kushindwa kukupa jibu nililo ahidi kuhusu yale maneno uliyo nikumbusha juu yake. Najuwa unakumbuka.

Nimetafuta bila mafanikio ile hotuba ya Mbowe iliyo nifanya niandike maneno hayo ambayo hadi sasa yanacheza akilini mwangu na kunichafua roho.

Lakini, hatimaye, sasa (leo) tupo hapa, na Tundu Lissu kazidi kufungua pazia kusema yale yale tuliyo wahi kuyasema mara nyingi tu kuhusu Mbowe, na anako ipeleka CHADEMA. Rekodi yetu ipo wazi kabisa humu JF. Hatujayasema haya aliyo sema Tundu Lissu, mara moja au mara mbili; tumeyasema haya mara nyingi sana humu humu JF.

Sasa sijui nieleze vipi nilivyo taka kukujibu kwenye yale maneno ambayo ni kama ulinifunga mnyororo mguuni na kushindwa kabisa kujitetea juu yake.

Namshukuru sana ndugu Lissu kuniondoa wasiwasi kidogo nilio kuwa nimebaki nao kuhusu haya yaliyo jifunua sasa hivi.
Mkuu Lissu anashindwa nini kuyazungumza mambo hayo ndani ya vikao vya chama?
Wanaosema Lissu ni mwanaharakati labda wako sahihi.
Matokeo yake yapo wazi,anapunguza thamani ya CDM,mwisho wake watafukuzana,sijui kama Lissu ana uwezo wa kufungua kambi mpya.
 
Nijuacho Mh Mbowe Hana Bei.

Tajiri kununulika Si Rahisi kama maskini.
Mangi huo utajiri wa Mbowe wa huku mitandani tu ?kule TRA hayupo kwenye kundi hata la walipa kodi wa kati ,huku JF Mbowe ni bilionaire🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Mkuu Lissu anashindwa nini kuyazungumza mambo hayo ndani ya vikao vya chama?
Wanaosema Lissu ni mwanaharakati labda wako sahihi.
Matokeo yake yapo wazi,anapunguza thamani ya CDM,mwisho wake watafukuzana,sijui kama Lissu ana uwezo wa kufungua kambi mpya.
Jiulizeni ni wasomi wangapi wameondoka hapo CDM kisa mzee Mbowe?hata hivyo,Lissu kavumilia mengi sana.
 
Ni Mbowe ndio alipewa hizo ahadi hewa, ndio maana siku moja kwenye mkutano wa cdm akawa analeta swaga za kumtetea mama Samia, huku akiwa amelewa chakari. Nadhani ndio alikuwa na hilo fungu la hadaa.
Tunaposema chadema ni chama Cha wahuni na wachumia tumbo naomba mtuelewe,msiwe mnatupopoa Kwa maneno makali
 
Mkuu Lissu anashindwa nini kuyazungumza mambo hayo ndani ya vikao vya chama?
Wanaosema Lissu ni mwanaharakati labda wako sahihi.
Matokeo yake yapo wazi,anapunguza thamani ya CDM,mwisho wake watafukuzana,sijui kama Lissu ana uwezo wa kufungua kambi mpya.
Lissu anasema ukweli ambao wengi wanashindwa , CDM mjitafakari sana
 
Waseme yote ila Mbowe ndiye anayeilinda Chadema. Huwezi kuleta uana harakati kwenye Chama cha siasa kwani utakiuka Miongozo ya Msajili wa vyama vya siasa kwa Msajili wa vya siasa. Yaani Chama cha Siasa kifanye mambo ya Club House ya akina Maria Sarungi si itafutwa mara moja. Ndio maana Tundu Lissu anaonekana kama mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa. Ndio CCM kuna mafisadi kama ambavyo Chadema kuna wachumia tumbo ila pia CCM kuna viongozi wengi wazuri kama ambapo Chadema kuna viongozi wenye busara.
 
Hivi mdude na Lema uwanaharakati wao hauoni au kwa kuwa msomi Lissu kaamua kuanika uwozo wa SACCOS?
 
My point is nyinyi chawa mnataka Mbowe asiwe mwenyekiti, mnataka akae mtu atakayehongwa ili chadema ife! That is my point! Mbowe si mtu wa khongwa vyeo! kama ingelikuwa hivyo , zamani sana angelikuwa CCM na vyeo! it is rubbish thinking!!
Sasa hapo anaebwata ni chawa au Lisu ?
 
Mkuu Kalamu
Kuwa na amani sana. Huu mjadala umepanuka sana mpaka sasa.

Wasaliti wa movement wataelea kama mafuta juu ya maji
Lakini sasa nazidi kushangaa zaidi. Hivi viongozi kama akina Heche huko CHADEMA mbona wamepoa sana kama hali ya chama chao iko shwari sana? Tundu Lissu kabaki ndiye kama mpinzani ndani ya CHADEMA, tawi la CCM?
Hawa viongozi wengine huko CHADEMA kwenyewe wako wapi?
 
Mkuu Lissu anashindwa nini kuyazungumza mambo hayo ndani ya vikao vya chama?
Wanaosema Lissu ni mwanaharakati labda wako sahihi.
Matokeo yake yapo wazi,anapunguza thamani ya CDM,mwisho wake watafukuzana,sijui kama Lissu ana uwezo wa kufungua kambi mpya.
Hili nadhani litahitaji mjadala mwingine. Binafsi sijui kama Tundu Lissu haya hayasemi huko ndani ya chama.
CHADEMA ikimuondoa Tundu Lissu sasa hivi ndani ya chama hicho, CHADEMA haitakuwa tofauti tena na vyama vingine washirika wa CCM.
 
Salaam Wakuu,

Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri kutoka Serikalini? Nini kilifanya Freeman Mbowe awalazimishe CHADEMA kuingia kwenye maridhiano yasiokuwepo?

Kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesikika akisema kwamba kuna watu waliahidiwa Vyeo Serikalini kutoka CHADEMA.

Ni wakina nani hao ambao waliahidiwa vyeo?
TL sio mkweli, hakuwepo kwenye mazungumzo ya maridhiano, ila hapa nimejifunza kitu kwa Lissu, kumbe maridhiano hayana minutes za walikubaliana nini, ndio maana TL anapotosha hoja ya nusu mkate.

Hoja ya nusu mkate sio serikali ya mseto, wala watu kupewa vyeo, bali CCM haitasimamisha wagombea strong kwenye majimbo strong hold ya upinzani.
P
 
Ni Mbowe ndio alipewa hizo ahadi hewa,
Ili ahadi iitwe ni ahadi hewa, ni hadi muda wa utekelezaji wa ahadi hiyo upite. Nusu Mkate ni 2025, hivyo sio ahadi hewa.

Na ikifika 2025 bila Chadema kurejea mezani kwenye mazungumzo ya maridhiano, then aliye default mazungumzo ni aliye walk away.

P
 
Hili nadhani litahitaji mjadala mwingine. Binafsi sijui kama Tundu Lissu haya hayasemi huko ndani ya chama.
CHADEMA ikimuondoa Tundu Lissu sasa hivi ndani ya chama hicho, CHADEMA haitakuwa tofauti tena na vyama vingine washirika wa CCM.
Chadema bila fulani yawezekana kwa sababu,think tank wengi wameondoka au wamefariki na chama kipo.
Nadhani mambo ya one man show hayana nafasi.
Kama akitaka kuondoka aondoke mapema asubuhi, ili chama kijipange mapema bila huyo mwamba.
 
Tundu Lissu hajasema anataka kuondoka. Je, unasemaje Mbowe kuondoka?

SAWA, kwa maoni yako, hata TLP, CUF, NCCR Mageuzi vipo; kwa nini CHADEMA kisiwepo katika hali hiyo ya hivyo vyama vingine?

Sasa hivi hicho chama kama siyo Tundu Lissu, na wachache walio amua kukaa kimya; hakitakuwa tofauti na CCM B kama vyama vinginevyo; pamoja na watu kama wewe kufikiri kuwa "one man show" haipo. Kuna wakati, bila Mbowe kuwepo wakati huo, ni mashaka kuwa CHADEMA leo hii ingekuwepo.
Kuwa na uongozi imara na wenye msimamo ndani ya chama ni kila kitu. Mifano mingi ipo, kwa nini unaisahau?
 
TL sio mkweli, hakuwepo kwenye mazungumzo ya maridhiano, ila hapa nimejifunza kitu kwa Lissu, kumbe maridhiano hayana minutes za walikubaliana nini, ndio maana TL anapotosha hoja ya nusu mkate.

Hoja ya nusu mkate sio serikali ya mseto, wala watu kupewa vyeo, bali CCM haitasimamisha wagombea strong kwenye majimbo strong hold ya upinzani.
P
Sasa hapa Paschal umeandika nini?unakataa sio nusu mkate hapohapo unakubali kuwa CCM hawasimamisha wagombea imara sehemu walizokubaliana ,Je hiyo sio nusu mkate indirectly?
Tukubali tukatae kwa Sasa nchini ni TL tu ndiye ka prove ni Mwanasiasa mkweli kwa upinzani na nchi nzima
 
Chadema bila fulani yawezekana kwa sababu,think tank wengi wameondoka au wamefariki na chama kipo.
Nadhani mambo ya one man show hayana nafasi.
Kama akitaka kuondoka aondoke mapema asubuhi, ili chama kijipange mapema bila huyo mwamba.
Chadema ilikuwa na think tanker wengi sana lakini siasa za ghiliba zimewaondoa hasa FAM lakini Kila jambo Lina Mwisho

Mwaka 2011 PASCAL MAYALA Alikuja na Uzi wa Kirusi ndani ya Chadema na anakijua ni FAM na alisema bila hicho Kirusi Chadema haifiki popote Leo yanaonekana
 
Mbowe sio Mpinzani kama hamuamini shauri yenu!!!
Mbowe huwezi kuwe mkiti wa chama kinachojiita kikuu cha Upinzani ambacho kina Ruzuku na kiko zaidi ya miaka 20 ila kinashindwa kuweka Wagombea kwenye vijiji na vitongoji!!! Mnapambana kuweka watu wenu wenye utii ambao hawana impact mtaanguka vibaya soon chadema itakua kama Chausta mbiwe utakua kama Cheyo au Mrema.
 
Back
Top Bottom