Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado una imani na Mbowe?
Utachekwa ww.Sana
Salaam Wakuu,
Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri kutoka Serikalini? Nini kilifanya Freeman Mbowe awalazimishe CHADEMA kuingia kwenye maridhiano yasiokuwepo?
Kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesikika akisema kwamba kuna watu waliahidiwa Vyeo Serikalini kutoka CHADEMA.
Ni wakina nani hao ambao waliahidiwa vyeo?
Mpaka Dkt Nchimbi anawaombea huruma "makosa madogo madogo" Mbowe yupo kimyaaa. Wewe unadhani ni kawaida?Salaam Wakuu,
Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri kutoka Serikalini? Nini kilifanya Freeman Mbowe awalazimishe CHADEMA kuingia kwenye maridhiano yasiokuwepo?
Kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesikika akisema kwamba kuna watu waliahidiwa Vyeo Serikalini kutoka CHADEMA.
Ni wakina nani hao ambao waliahidiwa vyeo?
Mbowe must goSalaam Wakuu,

Haya maridhiano yalikuwa hadaa tu, tatizo CDM hawakutaka kujifunza kwa maridhiano ya Ccm na Seif kule Zanzibar na matokeo yake yaliishia wapi.Salaam Wakuu,
Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri kutoka Serikalini? Nini kilifanya Freeman Mbowe awalazimishe CHADEMA kuingia kwenye maridhiano yasiokuwepo?
Kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesikika akisema kwamba kuna watu waliahidiwa Vyeo Serikalini kutoka CHADEMA.
Ni wakina nani hao ambao waliahidiwa vyeo?
Mkuu 'Msanii', ninajisikia hovyo sana kushindwa kukupa jibu nililo ahidi kuhusu yale maneno uliyo nikumbusha juu yake. Najuwa unakumbuka.Figga nakuamini ujue.
Siku hizi hata baba anaweza kuisaliti familia kwa maslahi ya mchepuko
Na Samia tumpe sifa gani. TAPELI la kimataifa?Tunaposema CHadema ni genge la vilaza ndio mtuelewe.
nasikitika kuyasema haya, lakini 'Retired' anapoteza hadhi yake na kupelekea aonekane kutokuwa tofauti na watu kama Lucas Mwashambwa walivyo kwa Samia.Kunywa maji kijana wangu.
Lakini tusimnyime sifa yake pia huyo mwingine. Samia ni mzuri sana kwenye udanganyifu. Hata Magufuli alishindwa kabisa kugundua udanganyifu mkubwa alio nao huyu mama. Nadhani hizo Ph.D. nyingi anazo tunukiwa zitakuwa zinahusiana na uwezo wake wa kudanganya watu.Ni Mbowe ndio alipewa hizo ahadi hewa, ndio maana siku moja kwenye mkutano wa cdm akawa analeta swaga za kumtetea mama Samia, huku akiwa amelewa chakari. Nadhani ndio alikuwa na hilo fungu la hadaa.
Lakini anaweza kununulika kwa sababu nyingi nginezo, hata kama siyo sababu ya esa.Nijuacho Mh Mbowe Hana Bei.
Tajiri kununulika Si Rahisi kama maskini.
Kama Mbowe ana'hongeka na Lissu nae ni walewale "wamepishana kwenye maslahi"Salaam Wakuu,
Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri kutoka Serikalini? Nini kilifanya Freeman Mbowe awalazimishe CHADEMA kuingia kwenye maridhiano yasiokuwepo?
Kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesikika akisema kwamba kuna watu waliahidiwa Vyeo Serikalini kutoka CHADEMA.
Ni wakina nani hao ambao waliahidiwa vyeo?
Mkuu KalamuMkuu 'Msanii', ninajisikia hovyo sana kushindwa kukupa jibu nililo ahidi kuhusu yale maneno uliyo nikumbusha juu yake. Najuwa unakumbuka.
Nimetafuta bila mafanikio ile hotuba ya Mbowe iliyo nifanya niandike maneno hayo ambayo hadi sasa yanacheza akilini mwangu na kunichafua roho.
Lakini, hatimaye, sasa (leo) tupo hapa, na Tundu Lissu kazidi kufungua pazia kusema yale yale tuliyo wahi kuyasema mara nyingi tu kuhusu Mbowe, na anako ipeleka CHADEMA. Rekodi yetu ipo wazi kabisa humu JF. Hatujayasema haya aliyo sema Tundu Lissu, mara moja au mara mbili; tumeyasema haya mara nyingi sana humu humu JF.
Sasa sijui nieleze vipi nilivyo taka kukujibu kwenye yale maneno ambayo ni kama ulinifunga mnyororo mguuni na kushindwa kabisa kujitetea juu yake.
Namshukuru sana ndugu Lissu kuniondoa wasiwasi kidogo nilio kuwa nimebaki nao kuhusu haya yaliyo jifunua sasa hivi.
Erythrocyte una la kuongeza!Salaam Wakuu,