Inawezekana Freeman Mbowe ndiye aliahidiwa kupewa Ubunge wa kuteuliwa ili CHADEMA isimsumbue Rais Samia?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri kutoka Serikalini? Nini kilifanya Freeman Mbowe awalazimishe CHADEMA kuingia kwenye maridhiano yasiokuwepo?

Your browser is not able to display this video.

Kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesikika akisema kwamba kuna watu waliahidiwa Vyeo Serikalini kutoka CHADEMA.

Ni wakina nani hao ambao waliahidiwa vyeo?
 
Aibu ya mwaka
 

Attachments

  • b3a34e7e631270a9e73fdd13db687369.mp4
    3.6 MB
  • watermark-51a3cc01acd06eefe8d1d23a20c76918_0.jpeg
    516.2 KB · Views: 3
Sura Al-Ma’idah, Aya 8

Mwenyezi Mungu anasema:

"Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimama kwa haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mtoapo ushahidi. Wala chuki yenu kwa watu isikufanyeni kutokutenda haki. Tendeni haki, kwani huko ndio kunako ucha Mungu..."
(Qur'an 5:8)
 
Lissu ni msaliti. Anamharibia Mbowe chama chake. Kamati kuu imvue uanachama haraka. Ahamie CHAUSTA.
Bila Lissu hakuna kitu inaitwa CHadema ,Lissu anashikiliwa pale na kundi la Mzee Mbowe ili chadema ionekane ni SACCOS ya kitaifa.
 

Mbowe? Impossible……
 
Mbo
Bila Lissu hakuna kitu inaitwa CHadema ,Lissu anashikiliwa pale na kundi la Mzee Mbowe ili chadema ionekane ni SACCOS ya kitaifa.
Mbowe ametusikitisha sana Watanganyika
Mbowe ni mjinga sana!! Hafai kabisa huyo Mmachame
 
Ni Mbowe ndio alipewa hizo ahadi hewa, ndio maana siku moja kwenye mkutano wa cdm akawa analeta swaga za kumtetea mama Samia, huku akiwa amelewa chakari. Nadhani ndio alikuwa na hilo fungu la hadaa.
 
Ni Mbowe ndio alipewa hizo ahadi hewa, ndio maana siku moja kwenye mkutano wa cdm akawa analeta swaga za kumtetea mama Samia, huku akiwa amelewa chakari. Nadhani ndio alikuwa na hilo fungu la hadaa.
Duuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…