Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

Mpo mbali sana na huyo mwenzako? Inawezekana mimba ni yako kweli mkuu
Hapana c mbali kiivyo but katika wanawake wanaonipenda bac ni huyu simuhongi wala nini simu sipigi lakini yeye awez lala bila kunicheki kila siku japo mimi muda cmpi coz simpendi nilivutiwa na chura tu halafu na mbaya zaidi tako lake ni kubwa mno kiac cha kuleta taharuki barabarani pale mnapokuwa pamoja so hii point inanifanya nimkimbie
 
Kwenye hayo magojwa mengine ayupo ishu ipo kwenye mimba ntajuaje kama kweli ni yangu nisije nikafanywa kama yule mwamba alie lea ujauzito ambao sio wake mwisho wa siku mwamba akajiuwa
Uwezi kujua chakufanya hudumia mimba mpaka ajifungue akishajifungua ukajua mtoto si wako jinyonge
 
Mkuu kama hukutumia kinga moja ya matokeo ni pamoja na mimba. Lea tu maana si dhambi
 
Hapo anza kutoa matunzo ya mimba angalau laki 2 kwa mwezi ili mpaka September upate mtoto mwenye afya njema.....ukipiga kavukavu habari ya mimba sio kitu cha kushangaza zaidi ya kukubali hakuna kwamba hauishi nae maana mimba sio kupanda maharage hata ukichomeka tu kwa wale wazee one minute kitu kinatunga
 
Usipotumia kinga kuwa tayari kwa lolote. Mimba, magonjwa ya zinaa, hepatitis B na mbaya zaidi Ngoma.
KUMBE HUJUI MBAYA ZAIDI HAPO, SIYO NGOMA..
BALI HUYO MWAMBA HAPO ANAITWA HEPATITIS B, huyo mwamba utumie kinga usitumie, kitendo cha kugusana tu na pakatokea skin contact kama kuna jasho na mengneyo hapo inaitwa go ahead,
na ugonjwa huo unaua haraka kuliko malaria kama haupo makini.
 
Mtego huo 🖐️🖐️
 
Yeah inawezekana ni yako ila kama ipo kwenye tumbo lako lakini.
 
Daaah😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…