Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ukiangalia Israel ni kama ilikuwa inatafuta sababu iwachape wabaya wake popote walipo. Maana imewachapia Iran, Yemen, Syria, Qatar na sehemu mbali mbali. Yaani ukiwaangalia Hamas na Hezbollah hawana hamu.
Iran wameuawa viongozi mle ndani ya nchi yao kama wanavyouawa tu watu wengine sehemu nyingine. Wataalamu wa Nyuklia. Hoi. Iran kwa sasa inaumiza kichwa haina tena ule mkwara iliyokuwa nayo. Watu wameuawa ndani ya nchi kama mbwa wenye njaa mtaani.
Tena na mademu tu. Iran hawajaelewa ilijuaje kuaje. Ndo maana moaka sasa hawaja recover wanawaza na kuwazua. Israel ina utamaduni wake ambao umetushtua sana sisi wachambuzi wa siasa za kimataifa. Ingawa hatujashangaa sana sababu tunakumbuka ile vita ya siku 7 ambayo mataifa ya kiarabu yalipokea kichapo kibaya sana na kanchi kadogo.
Hamas ni kama wameachiwa washikilie wale mateka ili Israel ipate sababu ya kuendelea kuwafilimba kila sehemu watakayo.