Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Ukraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi.
Kutokana na Russia kuogopeka na nchi nyingine kubwa kama US yenye jeshi kubwa zaidi duniani, ingetegemewa kuonekana Russia kuiteka Ukraine kwa haraka sana, lakini haijawa hivyo mpaka sasa.
Swali ni Je jeshi la Russia limekuwa overrated? Maybe lingeweza kudhibitika kirahisi kama umoja wa mataifa ungelivalia shati.