Inawezekana jeshi la Urusi sio tishio sana kama dunia inavochukulia

Inawezekana jeshi la Urusi sio tishio sana kama dunia inavochukulia

Wewe kanywe uji ukulale unabwabwaja hujui unacho ongelea, mkijifuza kusoma na kuandika, mnaona mmeshakua wataalamu, wa vita, anaongea rubbish kabisa
Mwenzio ametoa hoja, akatoa na sababu, akatoa na rank na akafafanua.

Wewe umeandika nini sasa hapa ndugu yangu, kuna hoja uliyotoa? Kuna takwimu? Kuna rank? Kuna ufafanuzi? Hakuna kitu zaidi ya kutukana. Ni aibu sana kama wewe ni mwanaume!
 
Kwanza Jiulize maswali yafuatayo kabla ya kuwadharau warusi...

NATO yenye Nchi karibia 30 ilichukua Muda gani Kuiangusha serikali ya Gadaffi?

USA ilichukua Muda gani Kuiangusha utawala wa Saddam Hussein?

USA ilichukua Muda gani Kuiangusha Taliban?

Vietnam Je?

Kwa ufupi Ni Kwamba Russia Ingeamua kuipiga Ukraine Haswa..isingechukua Hata Masaa 24 Kyiv Yote ingekuwa Magofu na vifusi...
Ila Raia wengi Sana Sana wangepoteza Maisha

Bado Mpaka Sasa Vita Ni Nyepesi..

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Vita ina kanuni,sio kupiga piga tuu
 
Kwa nini wawapige Raia,wangekwenda kupigana na wanajeshi wenzao.Katika vita vya Libya,Iraq,Taliban,walikuwa wakisema wanamgambo walijificha kwenye maeneo ya raia,kama hospital,sasa hawa Ukraine,hatusikii kama kuna wanajeshi wanajificha maeneo ya mkusanyiko wa raia,kwa hiyo kwa nini raia wapigwe na kuuliwa,wasipigane wanajeshi tu.
 
Kumbuka bado kuna raia humo , wa Ukraine na wengine ni wa mataifa mengine........mrusi hilo analiangalia pia
Hao raia, wako pamoja na wanajeshi?Au tuseme ni kama vile,ilivyokuwa ikisemwa Libya,Iraq,Afghanistani ya Taliban,kuwa wanamgambo wakijichanganya na maeneo ya mkusanyiko wa raia,kama hospital,masokoni,shule nk.Hatujasikia kama wanajeshi,wakijichanganya na raia huko Ukraine.
 
Putin kasema kila kitu kinaenda kama ilivyo kwenye plan, kama una timeline ya plans za urusi huko ukraine tuwekee hapa
 
Jina tu ndo linatisha,jeshi la kawaida mno
 
Kwa nini wawapige Raia,wangekwenda kupigana na wanajeshi wenzao.Katika vita vya Libya,Iraq,Taliban,walikuwa wakisema wanamgambo walijificha kwenye maeneo ya raia,kama hospital,sasa hawa Ukraine,hatusikii kama kuna wanajeshi wanajificha maeneo ya mkusanyiko wa raia,kwa hiyo kwa nini raia wapigwe na kuuliwa,wasipigane wanajeshi tu.
Hivi umeelewa nilichoandika au umejibu tuu Bila kufikiri?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hilo ni salama zaidi kuliko dunia ichukulie jeshi la utusi vinginevyo na kumbe sivyo
 
Wazee wa rusia wenye uzoefu washatoka kazin kama sisi jwtz ya ukomboz wa africa sio hii ya leo ya wacheza singeli nawanaolinda magaidi kama kina mbowe
 
Kwanza Russia tambua hili ajatumia vifaa vyake vya kisasa kama vifarusu vingi ni vya zamani pia ata wanajeshi sio wale special force

Hila sababu kubwa kbsa Putin kuchelewesha vita hii anaajenda ya Siri ambayo mimi nadhani kuendelea kukaa muda mrefu vitani ni kuchokonoa watu wajiguse na pia ili kufikia mwafaka wa hili lazima vikwazo na Ukraine kubaki neutral

Ndio maana wamagharibi wanaogopa kutia mguu

Vita hii inabeba mengi sana kuliko unavyojua
Russia anauwezi wakuipiga Ukraine masaa 6 tuu
Mfano angalia wamekamata kinu kikubwa cha nyuklia ambacho kinazalisha umeme nchini Ukraine mbona hawajazima umeme ?
Russia anayake mengine
Vijana wa moscow hawa [emoji28][emoji28]
 
Gaddafi hakuangushwa na NATO bali raia wake mwenyewe, NATO walikuwa wanazuia raia walioitwa mende na Gaddafi wasimalizwe
Kwanza Jiulize maswali yafuatayo kabla ya kuwadharau warusi...

NATO yenye Nchi karibia 30 ilichukua Muda gani Kuiangusha serikali ya Gadaffi?

USA ilichukua Muda gani Kuiangusha utawala wa Saddam Hussein?

USA ilichukua Muda gani Kuiangusha Taliban?

Vietnam Je?

Kwa ufupi Ni Kwamba Russia Ingeamua kuipiga Ukraine Haswa..isingechukua Hata Masaa 24 Kyiv Yote ingekuwa Magofu na vifusi...
Ila Raia wengi Sana Sana wangepoteza Maisha

Bado Mpaka Sasa Vita Ni Nyepesi..

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
WARUSI HAWANA LOLOTE MBWEMBWE NYIIIIIINGI UWEZO KISODA
 
Mkuu unashindwa kutafakari hyo mbinu ndogo hvyo vyombo vya habari vimepigwa marufuku kutoa taarifa za urusi halafu inakuaje mtu yeye ndo anapiga lakini anaomba vikao vya amani mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom