Kwanza Jiulize maswali yafuatayo kabla ya kuwadharau warusi...
NATO yenye Nchi karibia 30 ilichukua Muda gani Kuiangusha serikali ya Gadaffi?
USA ilichukua Muda gani Kuiangusha utawala wa Saddam Hussein?
USA ilichukua Muda gani Kuiangusha Taliban?
Vietnam Je?
Kwa ufupi Ni Kwamba Russia Ingeamua kuipiga Ukraine Haswa..isingechukua Hata Masaa 24 Kyiv Yote ingekuwa Magofu na vifusi...
Ila Raia wengi Sana Sana wangepoteza Maisha
Bado Mpaka Sasa Vita Ni Nyepesi..
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app