Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Wewe kanywe uji ukalale unabwabwaja hujui unacho ongelea, mkijifuza kusoma na kuandika, mnaona mmeshakua wataalamu, wa vita, anaongea rubbish kabisaUkraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi.
Kutokana na Russia kuogopeka na nchi nyingine kubwa kama US yenye jeshi kubwa zaidi duniani, ingetegemewa kuonekana Russia kuiteka Ukraine kwa haraka sana, lakini haijawa hivyo mpaka sasa.
Swali ni Je jeshi la Russia limekuwa overrated? Maybe lingeweza kudhibitika kirahisi kama umoja wa mataifa ungelivalia shati.
Toa fact mkuu acha makasiriko mbona unatoa maneno ya mke alieachika kwa fedhuri zake mwenyeweWewe kanywe uji ukulale unabwabwaja hujui unacho ongelea, mkijifuza kusoma na kuandika, mnaona mmeshakua wataalamu, wa vita, anaongea rubbish kabisa
Vita haina macho mzeeUkraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi.
Kutokana na Russia kuogopeka na nchi nyingine kubwa kama US yenye jeshi kubwa zaidi duniani, ingetegemewa kuonekana Russia kuiteka Ukraine kwa haraka sana, lakini haijawa hivyo mpaka sasa.
Swali ni Je jeshi la Russia limekuwa overrated? Maybe lingeweza kudhibitika kirahisi kama umoja wa mataifa ungelivalia shati.
Vita haiko kama movie ndugu, jiulize iliwachukua siku ngapi US kuikamata Iraq yote,Ukraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi.
Kutokana na Russia kuogopeka na nchi nyingine kubwa kama US yenye jeshi kubwa zaidi duniani, ingetegemewa kuonekana Russia kuiteka Ukraine kwa haraka sana, lakini haijawa hivyo mpaka sasa.
Swali ni Je jeshi la Russia limekuwa overrated? Maybe lingeweza kudhibitika kirahisi kama umoja wa mataifa ungelivalia shati.
Marekani wangemtuma Rambo na komandoo Joni Vita ingeisha siku tatu tu au sio 😂😂😂Toa fact mkuu acha makasiriko mbona unatoa maneno ya mke alieachika kwa fedhuri zake mwenyewe
Kumbuka bado kuna raia humo , wa Ukraine na wengine ni wa mataifa mengine........mrusi hilo analiangalia piaUkraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi.
Kutokana na Russia kuogopeka na nchi nyingine kubwa kama US yenye jeshi kubwa zaidi duniani, ingetegemewa kuonekana Russia kuiteka Ukraine kwa haraka sana, lakini haijawa hivyo mpaka sasa.
Swali ni Je jeshi la Russia limekuwa overrated? Maybe lingeweza kudhibitika kirahisi kama umoja wa mataifa ungelivalia shati.
Hao ni Wakupuuzwa tuWewe kanywe uji ukulale unabwabwaja hujui unacho ongelea, mkijifuza kusoma na kuandika, mnaona mmeshakua wataalamu, wa vita, anaongea rubbish kabisa
Ukraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi.
Kutokana na Russia kuogopeka na nchi nyingine kubwa kama US yenye jeshi kubwa zaidi duniani, ingetegemewa kuonekana Russia kuiteka Ukraine kwa haraka sana, lakini haijawa hivyo mpaka sasa.
Swali ni Je jeshi la Russia limekuwa overrated? Maybe lingeweza kudhibitika kirahisi kama umoja wa mataifa ungelivalia shati.[/QUOTEBongo bhana kila Mtu ni mtaalamu kwa kila kitu [emoji2]
Utaalamu wa bongo flava wewe,
kunyoa kihuni, kusuka rasta na kuvaa kipindi wewe
Kucheza viduku,
singeli
taarabu na baikoko wewe,
Kujichora matatuu mwilini kama chatu wewe,
Kubana sauti ya tatu badala ya besi ukiwa na Ke wewe,
Kuvaa kata K wewe,
Kula kulala wewe,
Kulewa tilalila wewe,
Kuishi kwa Shemeji wewe,
Kujichubua wewe, mapozi kama Binti wewe,
Kuangalia tamthilia wafilipino wewe,
kushinda kwenye klabu wewe,
Kuzurura mitaani wewe,
Kushinda vijiweni wewe,
Kulalamika maisha magumu wewe.
Kuangalia pono wewe,
Kupiga punyeto na kuangalia X wewe,
Kushinda kwenye Facebook, Instagram, Twitter, Badoo na WhatsApp wewe,
Kucheza kamali kwa kivuli cha kubeti wewe,
Kuvuta bangi, mirungi, kokein na shisha wewe,
kudai haki sawa wewe,
Tajiri wa mali, pesa na milki zote za kifahari wewe,
Kuwa na elimu dunia ya juu(msomi) wewe,
Biashara za mitandaoni wewe,
Bingwa wa mahusiano ya ndoa na mapenzi wewe,
Kulalamikia single mothers wewe,
Kulalamikia serikali ya TZ wewe,
Sasa Mtu gani hupitwi na kitu kwa utaalamu hivi dishi lako litakuwa sawa sawa kweli [emoji848][emoji847]
USHAURI:
Vita waachie wenyewe na usijihusishe na upande wowote maana hawakujui na hawahitaji kukujua[emoji2960]
Kwanza Russia tambua hili ajatumia vifaa vyake vya kisasa kama vifarusu vingi ni vya zamani pia ata wanajeshi sio wale special forceUkraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi.
Kutokana na Russia kuogopeka na nchi nyingine kubwa kama US yenye jeshi kubwa zaidi duniani, ingetegemewa kuonekana Russia kuiteka Ukraine kwa haraka sana, lakini haijawa hivyo mpaka sasa.
Swali ni Je jeshi la Russia limekuwa overrated? Maybe lingeweza kudhibitika kirahisi kama umoja wa mataifa ungelivalia shati.
Linaogopeka sabb wana vichwa vingi vya nyuklia, na hii vita wanapigana na ukrain hawajatumia hizo silaha za nyuklia, ndio maana nato na usa wanogopa kuingilia kwan jamaa anaeza tumia manyuklia yake wakiingia, mbumbumbu wewUkraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi.
Kutokana na Russia kuogopeka na nchi nyingine kubwa kama US yenye jeshi kubwa zaidi duniani, ingetegemewa kuonekana Russia kuiteka Ukraine kwa haraka sana, lakini haijawa hivyo mpaka sasa.
Swali ni Je jeshi la Russia limekuwa overrated? Maybe lingeweza kudhibitika kirahisi kama umoja wa mataifa ungelivalia shati.
Ukweli ni kuwa Russia anapambana na nchi kama 4 mpaka sasa na ambazo zina uwezo wa juu kivita.Ukraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi.
Kutokana na Russia kuogopeka na nchi nyingine kubwa kama US yenye jeshi kubwa zaidi duniani, ingetegemewa kuonekana Russia kuiteka Ukraine kwa haraka sana, lakini haijawa hivyo mpaka sasa.
Swali ni Je jeshi la Russia limekuwa overrated? Maybe lingeweza kudhibitika kirahisi kama umoja wa mataifa ungelivalia shati.
Ukraine amekuwa mwali hana namna zaidi ya kuolewaMdogomdogo tu Ukraine inachukuliwa
Nalog off