Inawezekana jeshi la Urusi sio tishio sana kama dunia inavochukulia

Wewe kanywe uji ukulale unabwabwaja hujui unacho ongelea, mkijifuza kusoma na kuandika, mnaona mmeshakua wataalamu, wa vita, anaongea rubbish kabisa
Mwenzio ametoa hoja, akatoa na sababu, akatoa na rank na akafafanua.

Wewe umeandika nini sasa hapa ndugu yangu, kuna hoja uliyotoa? Kuna takwimu? Kuna rank? Kuna ufafanuzi? Hakuna kitu zaidi ya kutukana. Ni aibu sana kama wewe ni mwanaume!
 
Vita ina kanuni,sio kupiga piga tuu
 
Kwa nini wawapige Raia,wangekwenda kupigana na wanajeshi wenzao.Katika vita vya Libya,Iraq,Taliban,walikuwa wakisema wanamgambo walijificha kwenye maeneo ya raia,kama hospital,sasa hawa Ukraine,hatusikii kama kuna wanajeshi wanajificha maeneo ya mkusanyiko wa raia,kwa hiyo kwa nini raia wapigwe na kuuliwa,wasipigane wanajeshi tu.
 
Kumbuka bado kuna raia humo , wa Ukraine na wengine ni wa mataifa mengine........mrusi hilo analiangalia pia
Hao raia, wako pamoja na wanajeshi?Au tuseme ni kama vile,ilivyokuwa ikisemwa Libya,Iraq,Afghanistani ya Taliban,kuwa wanamgambo wakijichanganya na maeneo ya mkusanyiko wa raia,kama hospital,masokoni,shule nk.Hatujasikia kama wanajeshi,wakijichanganya na raia huko Ukraine.
 
Putin kasema kila kitu kinaenda kama ilivyo kwenye plan, kama una timeline ya plans za urusi huko ukraine tuwekee hapa
 
Jina tu ndo linatisha,jeshi la kawaida mno
 
Hivi umeelewa nilichoandika au umejibu tuu Bila kufikiri?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hilo ni salama zaidi kuliko dunia ichukulie jeshi la utusi vinginevyo na kumbe sivyo
 
Wazee wa rusia wenye uzoefu washatoka kazin kama sisi jwtz ya ukomboz wa africa sio hii ya leo ya wacheza singeli nawanaolinda magaidi kama kina mbowe
 
Vijana wa moscow hawa [emoji28][emoji28]
 
Gaddafi hakuangushwa na NATO bali raia wake mwenyewe, NATO walikuwa wanazuia raia walioitwa mende na Gaddafi wasimalizwe
 
WARUSI HAWANA LOLOTE MBWEMBWE NYIIIIIINGI UWEZO KISODA
 
Mkuu unashindwa kutafakari hyo mbinu ndogo hvyo vyombo vya habari vimepigwa marufuku kutoa taarifa za urusi halafu inakuaje mtu yeye ndo anapiga lakini anaomba vikao vya amani mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…