Inawezekana jeshi la Urusi sio tishio sana kama dunia inavochukulia

Russia anapambana indirectly na US na NATO Ukaine
 
Usiongee kama mtu aliyevimbewa na shibe ya makande...US na ubabe wake kakaa Afghanistan 20yrs but kaambulia kukimbia.

Vita sio mchezo wa bao, Vita ni ngumu kwa yeyote!
Acha vichekesho Ndugu. Kwa nini Taleban asingechukua nchi kabla ya Marekani kuondoa majeshi!? Au ulitegemea Marekani akae Afghanistan milele!?
 
Linaogopeka sabb wana vichwa vingi vya nyuklia, na hii vita wanapigana na ukrain hawajatumia hizo silaha za nyuklia, ndio maana nato na usa wanogopa kuingilia kwan jamaa anaeza tumia manyuklia yake wakiingia, mbumbumbu wew
Mnachukulia Nuclear kama kupiga risasi. Hizo nuclear karibia mataifa yote makubwa wanazo. Kwa hiyo vita ya nuclear hakuna atakayepona.
 
Usijanganye wala usidangayike, vita ni ghiliba
 
Russia ilikuwa imara sana msimu ule wa vita baridi. Kwa sasa ni imara sana kwa silaha ilizonazo. Ila kikubwa inachojivunia ni kuwa na makombora ya nyuklia..pamoja na hayo Russia ya sasa haimpigi hata Muingereza..
 
NATO wana itifaki yao kwamba ukimshambulia mwanachama mmoja umeshambulia wote,,kwa msingi huo wanakwepa kuingia vitani moja kwa moja kwa sababu Urusi anakuwa na haki ya kushambulia mwanachama yeyote wa NATO. Na hao wanachama hawana nguvu sawa. Hivyo kuna itifaki zao muhimu kuhusu kuingia vitani...
 
Marekani na NATO Wanajua Russia ikoje katika Vita Kamili, wamepigana Syria na maeneo Menginee Mengi na sehemu aliyopo Urusi NATO na Marekani hawajawahi kushinda_

Russia haipo Ukraine Kwa Ukamilifu wake, hawajapeleka Teknolojia ya Kisasa, ni vifauru vya kawaida, Askari wa Rank ya 2, Helicopter Basi na Silaha ndogo ndogo kwasababu lengo lao Sio kuiteka nchi bali Kuishinikiza kurudi mezani kukubaliana kuhusu usalama Wa Urusi na Interests zake.

Ukitaka uone USO kamili wa Urusi basi Raisi wao atamke kwamba Vita Imehalalishwa ndio utajua Urusi ikoje na inavifaa Gani vizito vya maangamizi
 
Russia anapambana indirectly na US na NATO Ukaine
Muongo hatujaonyweshwa hata mwanajeshi mmoja wa marekani pale,hapa ndo tatizo la watanzania linaanzia kujazia mambo,
 
Urusi alipanga vita hii please kamilike ndani ya siku 12 so relax bado wapo ndani ya muda
 
Gaddafi hakuangushwa na NATO bali raia wake mwenyewe, NATO walikuwa wanazuia raia walioitwa mende na Gaddafi wasimalizwe
Basi inawezekana hujui kuhusu Libya...
NATO walihusika na mashambuoizi ya Anga
Pia msafara wa mwisho wa Gadaffi ulishambuliwa na NATO ndipo alipokamatwa na kuuwawa...

Huyu Ni Hillary Clinton Kipindi Akiwa Secretary of the State akikiri kuhusika kwao Libya na Akicheka kabisa kwamba Gaddafi wamemuua


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Gadaff NaTO hawakuingiza jeshi na vifaa kama ilivyo kwa Russia ndani ya Ukraine. Wali control anga tu na waasi wakafanya yao. Hawakuingiza section zote za jeshi.

Kwa Saddam Hussein US walikuwa wanateka miji kila siku. Huko Ukraine jamaa wamefanikiwa mji mmoja tu na wiki sasa inaingia ya pili

Jeshi la US halikwenda Afghastan kupigana vita ya vifaru, ndege na navy. Ilikuwa ni operation ya kijeshi
 
Pia anasahau Marekani hadi Afghanistan ni Zaidi ya kilometa 10,000 wakati Urusi na Ukraine ni kilometa 0 tu!
Kwenye vita logistics ni kitu chenye athari kubwa sana.
 
Mrusi alitegemea hatamwaga damu kwa ndugu zake rejea Crimea
Ila walipogoma ndio vita ikalazimu

Na mpaka sasa hajatumia nguvu kubwa kwa kupunguza casualties

Hapo angekuwa [emoji631] yule kubwa jinga wa vita ungeona saa hizi Stealth Bomber na B52 zikishusha mvua ya mabomu mpaka kwenye mashamba yao wakiuwa kuku na mbuzi acha binadamu tu hata wanyama

Rejea Somalia, nchi ndogo USA silaha alizopeleka na bado akapata kibondo ( msibishe)

Putin ana sitara kuliko hao wengine hata maiti haonyeshi
Ila wale wengine kwa masifa mpaka maiti zinazoelea wangeonyesha
Sijui na sisi ni kama USA maana kwa kupiga picha maiti tumoooo
Mpaka viroba


Uhalisia Putin mbabe na hawamuwezi kwani la kwanza wanajuana na pili corruption imetawala na wazungu wanapenda hela zao

[emoji636] wamenunua mitaa kwa kusafisha hela zao kwa hiyo ni marafiki kwa maslahi [emoji2957][emoji2957]
 
Mtoa mada tatizo lako ni moja tu kwamba unasikiliza sana propaganda za bbc.CNN & cO,utasikia Ukraine yaua wananjeshi 5000 wa urusi na kubomoa vifaru vyao 2000
Inawezekana Urusi kapeleka vifaru 100, wanajeshi 3000 ila unaambiwa wanajeshi wamekufa 3000!
Ina maana wanajeshi wote wa Russia wameuawa na Ukrain ni mshindi na Putin kakamatwa! Hio ndoto inayoenezwa na CCN,the Sun,Fox nk, sijaona habari za nini Urusi imefanya huko Ukrain ila nini Ukrain imewafanya Urusi.
Baada ya mwezi+ tutapata majibu kuwa nani mshindi.
Mbeleni kuna kuishiwa chakula, mafuta, maji,hela, kuchoka,support nk je nani ataanza kuishiwa?
 
Hii vita itachukua muda mrefu tu, maana kuna mamluki wa NATO wamo Ukrain. Wanaoumia ni raia wa Ukrain kwa maslai ta USA.
Ksma South Korea na North Korea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…