Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nadhani IGP alikuwa Omary Mahita aliyekuwa na kashfa nyingi za kushirikiana na na baadhi ya Majambazi
Kuna lile tukio la 2006 la uvamizi wa gari la NMB lililokuwa limebeba pesa.. Hili si la Mkapa lakini ni mabaki yake
Tukio lile la CRDB Nyerere road wale wandava waliingia saa mbili asubuhi na Range rover mbili nyeusi na kufanya yao.. Ilikuwa kama picha la shozniga.. Wakapora mabilioni wakasepa kusikojulikana.. Hatukuwahi kusikia kuna waliokamatwa
Likaja la Tegeta baada ya defender la polisi kuingia kwenye mfumo wa majambazi na kukutana na miziki minene ya AK47.. Katika kujihami askari wale na jibwa lao lenye mafunzo makali sana wakalala kwenye sakafu ya body la gari
Wale majambazi walikuwa na mafunzo ya ziada walipeleka moto wa risasi za rasharasha pembezoni mwa body na kuwamaliza askari wote pamoja na umbwa lao
Matukio ya uporaji mabenki at gun point yalikuwa mengi sana, mengine yalifanyka city center kabisa mapema asubuhi ama mchana kweupe
Matukio haya yakafuatiwa na uvamizi vituo vya polisi, kupora silaha, kujeruhi na hata kuua askari
Kwa wasiojua zamani kabla ya uvamizi wa vituo vya polisi raia walikuwa wanaingia muda wowote 24/7
Baada ya matukio ya uvamizi kushika kasi ndio ikaja sheria mpya ya askari kulinda vituo kuweka uzio na vizuizi na raia kutoruhusiwa kuingia na gari hasa nyakati za usiku.. Na baadhi ya vituo vikawa vinafungwa usiku
Matukio ya uvamizi, uporaji na mauaji havikuishia kwenye mabenki tu bali hata
Kwenye maduka makubwa na madogo
Sehemu za kubadili pesa za kigeni
Vibanda vya mawakala wa pesa
Vituo vya mafuta nknk
Kwenye matukio yote haya wahusika wa usalama wa raia na mali zao hakuna aliyejiuzulu hata mmoja
Kwenye matukio yote haya 'inside jobs' zilikuwa nyingi
Kwenye matukio yote haya kuna mamlaka za ulinzi na Usalama zilituhumiwa kushirikiana na majambazi
Nyakati za Jk kukawa na matukio mengi ya utapeli mkubwa kuliko ujambazi wa kutumia silaha
Kwenye utawala wa Magu todate majambazi yakafyekwa kisawasawa Ila kutekwa na kupotea kwa watu kukatamalaki kwa viwango vya kutisha