Inawezekana kipindi cha Mkapa ndio ujambazi mkubwa ulitamalaki

Kuna moja polisi walisema mtuhumiwa alijirusha kwenye defender ikiwa kasi..😀
 
mzee kuna secret agent tunajua mambo kibao nyuma ya pazia tuulize sisi.
 
Alikuwa fala sana yule Mzee aliendekeza pombe na umalaya, Alikuwa na IGP Jambazi hovyo kabisa
 

Inawezekana IGP kushiriki? Ingawa hizi story zimekuwepo. Na especially pale Moshi. Kulikuwa na RPC ambaye alikuwa anatizamwa kwa mashaka sana.
 
Ujambazi ulikuwepo ila mnaposema mpaka ilifikia hatua ya vituo vya Polisi kufungwa usiku sababu yao hapo mmeongeza chumvi.
Hapana fuatilia usiwe mwepesi wa kukanusha.. Ilifika mahali vituo vidogo vya police vilikuwa vinafungwa saa 12 jioni.. Tena vingine ni hapa Dar
 
Zamani kuipata pesa ya serikali ilikuwa ni ngumu sana ndo maana kukawa na magenge kutoka kwa viongozi sasa hivi watu pesa wanachota tu unakuta kijana mdogo ni tajiri mkubwa na ni mtoto wa kiongozi hizo pesa katoa wapi
 
nasikia watuhumiwa wengi walikua wanatoka mara serikali ikatumia njia ya kuwapa kipaumbele jeshini na upolisi sasa ivi hali ikawa shwari.

ukichunguza ni kama kweli 70% ya polisi na wanajeshi ni watu wenye vina saba vya mkoa wa mara
Kuna swali la kijinga watu huulizwa kuhusu umri wao ikitokea hoja.Nimelitoa kwenye kundi la kuitwa swali la kijinga.Kuulizwa ..."una umri gani"...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…