Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
648
Reaction score
1,485
Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa lengo la kufungulia mradi wa Bagamoyo.

Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu.


Nawakumbusha viongozi kuwa Magufuli alikuwa na ana watu wengi sana Watanzania wanaomwamini kuwa ndie alikuwa mtetezi wa kweli wa rasilimali na Watanzania. Hivyo waende taratibu maana akitokea kichaa akahoji kuhusu kifo na kushawishi vinginevyo kwa matendo yao nchi itayumba.

Nyerere alisema huwezi kumgusa Rais nchi isitikisike. Kifo kimemgusa Rais twendeni taratibu tusitake kuwachafua waliokuwa watumishi waaminifu wa marehemu maana wakijitetea watawashinda mbele ya Umma
 
Kakoko ana mamlaka yepi kuzuia project kubwa ya serikali na wadau??

CAG report ya mwaka jana, na mwendazake akiwepo, bado ilisema ubadhirifu TPA. Mwaka huu vilevile!

Sisi ni wananchi wapenzi watazamaji, tunawaangalia FISI wanavyoparurana.

Everyday is Saturday................................😎
 
mkuu sasa mbn inaonekana kuyumba unaanza kufanana na Don Nalimison
 
Mleta mada humjui?

ni mwezi mchanga
 
Inabidi upambane sana maana dalili za wewe kupata teuzi zipo mbali kama ardhi na mbingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…