Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa leo la kufungulia mradi wa Bagamoyo.

Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu.https://youtu.be/MYTVsWgrwx0

Nawakumbusha viongozi kuwa Magufuli alikuwa na ana watu wengi sana Watanzania wanaomwamini kuwa ndie alikuwa mtetezi wa kweli wa rasilimali na Watanzania. Hivyo waende taratibu maana akitokea kichaa akahoji kuhusu kifo na kushawishi vinginevyo kwa matendo yao nchi itayumba.

Nyerere alisema huwezi kumgusa Rais nchi isitikisike. Kifo kimemgusa Rais twendeni taratibu tusitake kuwachafua waliokuwa watumishi waaminifu wa marehemu maana wakijitetea watawashinda mbele ya Umma

Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
Kama kakoko ndie alimudanganya Magufuli kwamba mradi wa bandari ya Bagamoyo hauna manufaa,basi hafai kabisa. Ni adui wa taifa.
 
Inafikirisha.

1. Fasta zinaenea habari kakutwa na mabilioni maskani
2. Fasta anatolewa
3. Fasta bandari tuliyoambiwa haifai kujengwa inaanza kupigiwa chapuo ijengwe
ongezea..
hata kabla ya uchunguzi haujaisha keshapokwa cheo..dadek
 
Inafikirisha.

1. Fasta zinaenea habari kakutwa na mabilioni maskani
2. Fasta anatolewa
3. Fasta bandari tuliyoambiwa haifai kujengwa inaanza kupigiwa chapuo ijengwe

Hawa wamepigwa upofo na utahira na Mungu. Subiria matokea ya huu ujinga.
 
Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa leo la kufungulia mradi wa Bagamoyo.

Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu.https://youtu.be/MYTVsWgrwx0

Nawakumbusha viongozi kuwa Magufuli alikuwa na ana watu wengi sana Watanzania wanaomwamini kuwa ndie alikuwa mtetezi wa kweli wa rasilimali na Watanzania. Hivyo waende taratibu maana akitokea kichaa akahoji kuhusu kifo na kushawishi vinginevyo kwa matendo yao nchi itayumba.

Nyerere alisema huwezi kumgusa Rais nchi isitikisike. Kifo kimemgusa Rais twendeni taratibu tusitake kuwachafua waliokuwa watumishi waaminifu wa marehemu maana wakijitetea watawashinda mbele ya Umma

Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
Kakoko amefanya ufisadi mkubwa sana Kigoma halafu kawatupa jela wasaidizi wake.

Yule mrundi hafai kabisa!
 
Mleta mada tumia kanuni hii ili kuifahamu Tanganyika: ukiona mtu anatupiwa lawama Sana upo uwezekano amekanyaga bomba linalopeleka ulaji kwenye matumbo ya wajanja!
Mfano hai: Bashiru Kakurwa siku hizi kawa mbaya, ila wenye akili wanafahamu pamoja na mabaya yake ila KAMATI ALIYOIONGOZA KUHAKIKI MALI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI IMEUA ULAJI WA WENGI (nyingi ni za watanzania tu) kwenye msafara wa mamba na kenge huwa hawakosi wengine wanafuata tu upepo wa kutukana ila wenye akili tunafahamu kuwa ubaya wa akina Sabaya, Bashiru, nk pamoja na mabaya yao ila nongwa ni kuziba ulaji wa vigogo!
 
Kabisa mkuu.
 
Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa leo la kufungulia mradi wa Bagamoyo.

Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu.https://youtu.be/MYTVsWgrwx0

Nawakumbusha viongozi kuwa Magufuli alikuwa na ana watu wengi sana Watanzania wanaomwamini kuwa ndie alikuwa mtetezi wa kweli wa rasilimali na Watanzania. Hivyo waende taratibu maana akitokea kichaa akahoji kuhusu kifo na kushawishi vinginevyo kwa matendo yao nchi itayumba.

Nyerere alisema huwezi kumgusa Rais nchi isitikisike. Kifo kimemgusa Rais twendeni taratibu tusitake kuwachafua waliokuwa watumishi waaminifu wa marehemu maana wakijitetea watawashinda mbele ya Umma

Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
Spika Ndugai anavyobadilika haraka kesho unaweza kuskia akitaka Tuvunje Ukuta wa Mererani
 
Back
Top Bottom