Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue ni biashara. Shule ya msingi kwa Kiswahili utakuwa na tofauti gani na shule za serikali mpaka wazazi waache kupeleka watoto wao shule za serikali wawalete kwako?Hivi shule za private lazima zifundishe kwa kiingereza?
Hilo ni tatizo japo Uingereza kuna shule private zinazofundisha kwa kiingereza na za serikali zinafundisha kwa kiingereza hichohicho. Wanawapeleka private sababu ya quality ya elimu, program za shule na class size.Issue ni biashara. Shule ya msingi kwa Kiswahili utakuwa na tofauti gani na shule za serikali mpaka wazazi waache kupeleka watoto wao shule za serikali wawalete kwako?
English ni world class language. Hakuna sababu ya kufundisha kwa lugha mbadala huko Uingereza wakati unaweza kupata kila kitu kupitia lugha moja.Hilo ni tatizo japo Uingereza kuna shule private zinazofundisha kwa kiingereza na za serikali zinafundisha kwa kiingereza hichohicho. Wanawapeleka private sababu ya quality ya elimu, program za shule na class size.
Shida inakuja pale unapotaka kupiga pesa toka kwa wanyonge wakati wanyonge ndiyo hivyo tenaInawezekana tu mkuu,lkn ni shule itakayowafaa watoto wa wanyongeeeee.
Nachomaanisha ni kuwa watu hawapeleki watoto private sababu ya lugha bali sababu ya quality ya elimu. Ni elimu wuality inaweza kltolewa kwa lugha yoyote, Au unamaanisha kuwa sababu kuu ya watu kupeleka watoto private ni Lugha?English ni world class language. Hakuna sababu ya kufundisha kwa lugha mbadala huko Uingereza wakati unaweza kupata kila kitu kupitia lugha moja.
Wewe fungua shule ufundishe kwa kiswahili, hamna atakae kuzuiaNachomaanisha ni kuwa watu hawapeleki watoto private sababu ya lugha bali sababu ya quality ya elimu. Ni elimu wuality inaweza kltolewa kwa lugha yoyote, Au unamaanisha kuwa sababu kuu ya watu kupeleka watoto private ni Lugha?
Inawezekana. Hata Uingereza kula shule za private zinazofundisha kingereza. Itategemea tu na unavyoi-position shule yako kibiasharaHivi shule za private lazima zifundishe kwa kiingereza?
Inawezekana mbona zipo na Zina fanya vizuri mfano HURUMA na ST WOLHEM ZIPO MBINGA mjini Mkoani RUVUMA. Shule hizi ndizo hutikisa mkoa wa Ruvuma kielimu kwa miaka kadhaa sasa.Hivi shule za private lazima zifundishe kwa Kiingereza?
Buhahaha haha fala Sana weweWenye kumshawishi mume mtoto aende private Ni mke..
Jiulize. Ni mmama yupi atamshauri mumewe wampeleke mtoto shule ya hela ndefu inayofundisha kisukuma.
Hata wageni wakija mama hawezi kumfokea dogo kwa kiingereza?
Mama atatoa story gani huko salun Kama analipa milioni kwenye school bus halafu dogo hata good morning haijui?
Kwako wewe tafsiri ya ubora wa elimu ni ipi ?Nachomaanisha ni kuwa watu hawapeleki watoto private sababu ya lugha bali sababu ya quality ya elimu. Ni elimu wuality inaweza kltolewa kwa lugha yoyote, Au unamaanisha kuwa sababu kuu ya watu kupeleka watoto private ni Lugha?