Inawezekana kuanzisha shule ya msingi binafsi inayofundisha kwa Kiswahili?

Inawezekana kuanzisha shule ya msingi binafsi inayofundisha kwa Kiswahili?

Nachomaanisha ni kuwa watu hawapeleki watoto private sababu ya lugha bali sababu ya quality ya elimu. Ni elimu wuality inaweza kltolewa kwa lugha yoyote, Au unamaanisha kuwa sababu kuu ya watu kupeleka watoto private ni Lugha?
Lugha
naona una undermine sana factor ya lugha...Shule za msingi za private zinaandaa wanafunzi kwa Elimu ya juu ambayo inatumia kiinhereza tu O-level up to Degree....sasa nashangaa unavyosema hawangalii lugha

Hiyo shule yako labda uwe na pesa za kuzitupa
 
Inawezekana. Hata Uingereza kula shule za private zinazofundisha kingereza. Itategemea tu na unavyoi-position shule yako kibiashara
Mfano wako unaona upo sawa kabisa....POOR THINKING.
 
Ni ile inayomuwezesha mtoto kupata maarifa aliyokusudiwa kupewa kikamilifu. Si ile ya kumaliza bila kuelewa yale aliyotakiwa kuelewa au kuelewa nusunusu
Kwa GOAL hii jiandae kuzika pesa zako
 
English ni world class language. Hakuna sababu ya kufundisha kwa lugha mbadala huko Uingereza wakati unaweza kupata kila kitu kupitia lugha moja.
Ukoloni umekuganda.. Inatia huruma mtu kujimwambafai kwa lugha ya kigeni. Mpaka sasa najua hujui kuongea Kingereza kwa dakika hata moja na pia hujui kuongea Kiswahili kwa dakika hata moja bila kuchanganya
 
Utafirw.a wewe, acha shobo na usio wajua
 
Issue ni biashara. Shule ya msingi kwa Kiswahili utakuwa na tofauti gani na shule za serikali mpaka wazazi waache kupeleka watoto wao shule za serikali wawalete kwako?
Zipo shule za binafsi za kiswahili
 
Back
Top Bottom