GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Mmoja wa ndugu wa karibu ana tatizo la kunywa pombe kupitiliza. Ni kama ameshakuwa mraibu wa pombe, na imemuathiri sana afya yake. Hajali kula, kipaumbele chake ni pombe, tena zile za bei rahisi vilivyo kwenye vichupa vidogo wanavyoviita "DIAMOND"
Ameshashauriwa sana bila mafanikio. Njia gani inaweza kumnusuru na hilo tatizo?
Inawezekana kupelekwa sober house kwa kulazmishwa? Sober house wanao uwezo wa kumdhibiti asinywe pombe?
Ameshashauriwa sana bila mafanikio. Njia gani inaweza kumnusuru na hilo tatizo?
Inawezekana kupelekwa sober house kwa kulazmishwa? Sober house wanao uwezo wa kumdhibiti asinywe pombe?