GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Wengi wanaopelekwa soba huwa wanalazimishwa ila wakifika kule wanaiona faida yake. Wewe unafanya mipango yote na watu wa soba halafu unawaambia alipo mtu wako wanakuja na kumbeba. Wana mbinu za kuwachukua.Mmoja wa ndugu wa karibu ana tatizo la kunywa pombe kupitiliza. Ni kama ameshakuwa mraibu wa pombe, na imemuathiri sana afya yake. Hajali kula, kipaumbele chake ni pombe, tena zile za bei rahisi vilivyo kwenye vichupa vidogo wanavyoviita "DIAMOND"
Ameshashauriwa sana bila mafanikio. Njia gani inaweza kumnusuru na hilo tatizo?
Inawezekana kupelekwa sober house kwa kulazmishwa? Sober house wanao uwezo wa kumdhibiti asinywe pombe?
Mwanza mkuu!Wengi wanaopelekwa soba huwa wanalazimishwa ila wakifika kule wanaiona faida yake. Wewe unafanya mipango yote na watu wa soba halafu unawaambia alipo mtu wako wanakuja na kumbeba. Wana mbinu za kuwachukua.
Upo mkoa gani??
Hiyo nimeipenda. Nitafuatilia. Shukran sana mkuu!Mnunulie dawa hii inapatikana famasi inaitwa( Disulfiram tabs) chukua kidonge kisage halafu changanya na juice tamu anayoipendelea mpe anywe...usimuambie kama ndani ya juice Kuna kidonge.......mpe mchanganyiko Huo walau mara 5 ndani ya wiki moja ...kula atakapokuwa anagusa pombe Tu ni mwendo wa kutapika na kujihisi hovyo mpaka ataamua kuacha mwenyewe.
Sijajua kwa upande wa sheria. Ila kama ni mzazi wako au mke au mtoto unampeleka tu maana hapo inakuwa kama umempeleka hospitali ila kwa ndugu sijajuaMwanza mkuu!
Labda kwa upande wa Sheria, kuna kipingamizi chochote endapo nitatumia nguvu kumpeleka sober house kinyume cha matakwa yake?
NduguSijajua kwa upande wa sheria. Ila kama ni mzazi wako au mke au mtoto unampeleka tu maana hapo inakuwa kama umempeleka hospitali ila kwa ndugu sijajua
Labda akishafikishwa kwenye hayo makazi, wana nyenzo za kumdhibiti? Hawezi akawafanyia fujo?Inawezekana kabisa ukampeleka Sober House mtu kwa kuforce.
Mashtaka si mpaka yeye atoke na afungue. Na pia ni kwa sheria ipi? Wakat umempeleka sehem ambayo yeye amepata unafuu.
Ila Sober house sio mchezo.
Ni kama shule na Hostel za watu wazima ambao hamtoki ndani, nyinyi ni kula kuangalia TV, mawaidha, kusali na kulala. Kila mtu na Godoro lake na pekeyake kama vile Boarding double decker ..
Baba angu mkubwa alikuwa Sober Tabata miez 4, akatoka mzima na kuapa harudii pombe, wakamrudisha Moshi, daah! Mambo yale yale. Analala mtaroni. Kwahiyo sasahiv ana kijana anamtunza, mke(bibi mkubwa) kakimbia yuko kwa wanae...
Hizi pombe hizi nyoko sana....
Ukiwa na fujo unafungiwa chumba either ufungwe kamba kwa muda au ufungiwe kwenye chumba ambacho kina Godoro tu. Na Choo ndan, unapewa chakula kitobo cha mlango.Labda akishafikishwa kwenye hayo makazi, wana nyenzo za kumdhibiti? Hawezi akawafanyia fujo?
Pombe siyo dhambi, kosa lake nini hadi umwadhibu?Mmoja wa ndugu wa karibu ana tatizo la kunywa pombe kupitiliza. Ni kama ameshakuwa mraibu wa pombe, na imemuathiri sana afya yake. Hajali kula, kipaumbele chake ni pombe, tena zile za bei rahisi vilivyo kwenye vichupa vidogo wanavyoviita "DIAMOND"
Ameshashauriwa sana bila mafanikio. Njia gani inaweza kumnusuru na hilo tatizo?
Inawezekana kupelekwa sober house kwa kulazmishwa? Sober house wanao uwezo wa kumdhibiti asinywe pombe?
We acha tu! Wanasema, "kichaa anachekesha ila tu kama hajatokea katika malango yako". Kwa wengine ni kichekesho, lakini kwa ndugu ni mateso.Ukiwa na fujo unafungiwa chumba either ufungwe kamba kwa muda au ufungiwe kwenye chumba ambacho kina Godoro tu. Na Choo ndan, unapewa chakula kitobo cha mlango.
Nje (the same house) unapewa mawaidha na wenzako ambao wana ahuen kwamba aisee tulia ni jambo la kawaida.
Ukiwa na nidham unakaa na wenzako.
Ila kule Tabata vijana ni weng, tulimuacha Baba Mkubwa ila hatukuwa na aman. Baba ana miaka 65+ anakaa na vijana waraibu wa madawa, haikuwa sawa ila hakukuwa na jinsi.
Pamoja na hayo alikaa sawa na akatoka vizur tu,ila pia zimerud.
Bia mbaya sana.
Na hapohapo unajiita Castle lite.πBia mbaya sana.
Kitu chochote kikizid bas jua kinaharibu.Pombe siyo dhambi, kosa lake nini hadi umwadhibu?
Bana eeeh.Na hapohapo unajiita Castle lite.π
Hata uume hausimami! Mmh sasa acheni afe tuu, ana faida gani sasa?Kitu chochote kikizid bas jua kinaharibu.
Jamaa amepitiliza pombe. Hafanyi kazi na
Hata akiachwa kuwa hana hela bas anaenda kilabuni na kuna washkaj zake watamnunulia,
Hizo bia anazoenda nunua ni buku 1. Akinywa hata kula hawez (hivyo anadhoofika). Nguvu hamna. Kazi hawez fanya, Hata uume hausimami (vijana wa Rombo).
Sasa ndugu wa namna hii ni wa kumsaidia.
Na ndio Sober house iko kwaajili yao.
Tabata tulilipia laki 3 kwa mwezi.