Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

Kick2310

New Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
4
Reaction score
0
Habari ze wanaJF,

Naomba kuuliza je ukishakuwa mtumishi wa umma na una CHQ number, je inawezekana kuomba nafasi za kujitolea kwenye jeshi la ulinzi na usalama na ukachaguliwa.

Kwa story nilizoziskia ni kwamba hata ukichaguliwa baadae watakuchuja kwa sababu tayari unakuwa una CHQ number so hawatoweza kukuingiza kwenye mfumo wa malipo ya JWTZ.
 
nitapumzika nikifa kaka, sema aliapply ya jeshi kipindi anasubiria majibu ya utumishi sasa amechaguliwa utumishi ko anataka kujua kama ataruhusiwa jeshini
Huyu ni wewe sio ndugu yako.
Achana na makazi ya jeshi, Uraia ni Uhuru.
 

Attachments

  • 20250513_154250.jpg
    20250513_154250.jpg
    49.6 KB · Views: 41
Back
Top Bottom