nitapumzika nikifa kaka, sema aliapply ya jeshi kipindi anasubiria majibu ya utumishi sasa amechaguliwa utumishi ko anataka kujua kama ataruhusiwa jeshiniMbona unahangaika
Huyu ni wewe sio ndugu yako.nitapumzika nikifa kaka, sema aliapply ya jeshi kipindi anasubiria majibu ya utumishi sasa amechaguliwa utumishi ko anataka kujua kama ataruhusiwa jeshini
Kumbe humu nako kama twitter ujuaji mwingi akili kisodaSasa kumbe jibu unalo tayari?
soma post ya tatu ndo utaelewa situationTupunguze tamaa!
Heeeeh😆😆Kumbe humu nako kama twitter ujuaji mwingi akili kisoda
Dah kwa kweli. Sijui anahitaji nini.Mbona unahangaika