joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nilitegemea jibu kama hilo kutoka kwako sababu huna unacho kijua kuhusiana na Cyber Security na sio kosa lako.nilijua tu umekariri blackmarket.com unadhani watu makini wote taarifa kutoka kwa hackers lazima twende huko, kuna taarifa tunazipata direct kwa dms, one by one, na private websites, eti sijui kujiprotect usipigwe mtu huna valuable info uko third world country, atakupiga nani acha woga.
kama mimi mweupe daa we mweusi kabisa yani upo hapa cjui na degree yako ya cyber kutoka vyuo vya vichochoroni huko unasema watu hawawezi cheza na barclays network, wakati kuna some bogus it guys wanakiwasha, hapo hatujawagusa mastermind wenyewe.Huna unacho kijua mweupe kabisa katika ulimwengu wa Cyber Security nilicho gundua unapendwa kusikiliza story za vijiweni halafu unakuja huku unazani kuna wajinga kama wajinga wenzio walio kusimulia huko.
Kwani dunia hii ya leo kujua vitu vya Cyber mpaka uwe na degree,Udemy,Torrents kuna tutoria kibao cha msingi uwe na kichwa cha kuelewa,tatizo ww hiko kichwa huna ndio maana unakili za kushikiwa.kama mimi mweupe daa we mweusi kabisa yani upo hapa cjui na degree yako ya cyber kutoka vyuo vya vichochoroni huko unasema watu hawawezi cheza na barclays network, wakati kuna some bogus it guys wanakiwasha, hapo hatujawagusa mastermind wenyewe.
sikia mtoto mdogo wewe ungekua mteja wa sensitive information kwaajili ya biashara kubwa na mission kubwa za kimkakati, ungejua wapo,Kwani dunia hii ya leo kujua vitu vya Cyber mpaka uwe na degree,Udemy,Torrents kuna tutoria kibao cha msingi uwe na kichwa cha kuelewa,tatizo ww hiko kichwa huna ndio maana unakili za kushikiwa.
Bongo hamna Black Hat Hackers endelea kubishana na watoto wenzio.
Unaona sasa ndioo unaanza kujipambanua vizuri,sasa hivyo ndivyo vitu vyako ila huku kwenye Cyber achana napo.sikia mtoto mdogo wewe ungekua mteja wa sensitive information kwaajili ya biashara kubwa na mission kubwa za kimkakati, ungejua wapo,
unachoongea ni sawa na kukaa nyumbani na kusema bongo hakuna malaya wewe, wakati huo hua haujatembelea kitambaa cheupe na vijisenti vyako.
kilichobaki tutafute pesa tu.Unaona sasa ndioo unaanza kujipambanua vizuri,sasa hivyo ndivyo vitu vyako ila huku kwenye Cyber achana napo.
Kwa hiyo kitambaa kuna malaya wakali kuliko Kidimbwi na Wavuvi?
Hakika mkuu leo nilikua soko la dhahabu geita nimejionea hiloSana nenda mikoa wanayochimba dhahabu au madini asee kuna madon wanaendesha magari ambayo watu tunayaona kwenye movie tuuh
Ni kweli ila hapo ndipo inapokuja tofauti kati ya wafanyabiashara wanaoshirikiana na serikali na wafanyabiashara wanaocontrol serikaliHamna mfanyabiashara asiyekuwa karibu na mwanasiasa hayupo na hata hizi biashara zao wanasiasa wanazitumia kitakatisha hela zao. Kwa Afrika mfanyabiashara ukiwakataa wanasiasa ambao wanataka kuwekeza hela zao chafu lazima uundiwe zengwe na biashara utafunga.
Unazijua dila milion 380 ww? Hata GSM mwenye hana hizo anachezea kwenye dola 200milion.madogo mna kariri sana kwakua taarifa za kina rostam za pesa ziko mitandaoni basi taarifa ambazo hazipo mitandaoni hamzifanyii kazi, ukiambiwa account ya millard ayo pale barclays kwa mujibu wa hackers ina zaidi ya dola million 350 huyo anashindanaje na diamond huyo wenzake ni kina rostam
madogo mna kariri sana kwakua taarifa za kina rostam za pesa ziko mitandaoni basi taarifa ambazo hazipo mitandaoni hamzifanyii kazi, ukiambiwa account ya millard ayo pale barclays kwa mujibu wa hackers ina zaidi ya dola million 350 huyo anashindanaje na diamond huyo wenzake ni kina rostam
ndio mkuu watu si wamekariri, dola ni dola.View attachment 2828275
Mkuu labda unamaanisha Dola za Zimbabwe [emoji23]
$350m unazijua wewe, eti hata gsm hana huna wewe unabisha bisha tu hela za watu, tafuta zako tutaziongelea mwisho pumbavu mwenyewe.Unazijua dila milion 380 ww? Hata GSM mwenye hana hizo anachezea kwenye dola 200milion.
Ww ni mpumbavu. Over
Hauna akili ww dola milion 350 GSM, unafikir dola milion 350 ni matako?$350m unazijua wewe, eti hata gsm hana huna wewe unabisha bisha tu hela za watu, tafuta zako tutaziongelea mwisho pumbavu mwenyewe.
Huyu dogo mpumavu Sana.bi 880 anaiyonaje huyu🤣🤣🤣🤣
I like your sense of BRUTALITY 😂Hiyo hela inanunua clouds pamoja na media zote Tanzania mpaka TBC na kisha inaamia media za Kenya inanunua zote. Kisha inaaamia Uganda, Rwanda na Burundi inanunua media zote. Na bado haiishi
wewe mtoto wa ndani ya ndoa una sh ngapi? kunguru mmoja wewe unatoa vijembe tu, sema wewe gsm mme wako ana shingapi? huna data bwa bwa kama kenge mmoja watu wasipowaonyesha pesa kwenye mitandao hamna vyanzo binafsi jamaa ana uwekezaji nje ya tanzania wakutisha unaongelea vijisent 300m dolla pumbavu kabisa unadhani gsm kwa biashara zake anaingiza million 2 kwa siku shwain wewe.Hauna akili ww dola milion 350 GSM, unafikir dola milion 350 ni matako?
SIBISHANI NA WATOTO WA NJE YA NDOA [emoji706].
Tafuta ajira kwanza utoke kwenu hapo ujitegemee pimbi ww
sababu wewe unatengeneza alfu 7000 kwa siku unadhani na vidume wa dunia hii wanalia lia kama nguchiro tafuta hela acha kushangaa na vijisentHuyu dogo mpumavu Sana.bi 880 anaiyonaje huyu🤣🤣🤣🤣
GSM sio kidume wa dunia few years back majority of Tz hawakumfahamu pia amepata umaarufu kupitia mpirasababu wewe unatengeneza alfu 7000 kwa siku unadhani na vidume wa dunia hii wanalia lia kama nguchiro tafuta hela acha kushangaa na vijisent