Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

Ana mkataba na Sayona, Guiness na United Nations... hizo ni kampuni na taasisi chache anazozifanyia kazi.

Kama unamjua huyo Millard Ayo muulize mwenyewe akwambie kuhusu Dozen. Ni kijana mwenye kujiweza na mkimya sana! Usiongelee chuki mimi naongelea uhalisia. 😊
Hakika ni kweli Dozen ana pesa sawa na Mond na Milard, happy 😀😀

Next time go and learn about LEAGUES
 
usikariri mzee millard kwa mujibu wake mwenyewe anaingiza kama million 210 kwa mwezi kutoka kwenye real estate na biashara nyingine anazofanya na kina rostam aziz, na yeye hatumii pesa ovyo kama diamond, kwa mwezi millard ayo hata afanye matumizi gani hawezi maliza hata million 2 kijana ana nidhamu yule mwezake diamond atanunua mabwanga huko, atahonga kenya hadi south mwisho wa mwezi anabaki na laki tisa kutoka million 200
Acha kumtukana Rostam, Rostam level za kina Bakheresa, Mo nk.Hana biashara yoyote na Ayo. Rostam unazungumzia Billions of money,ana mikampuni ya Migodini, Kampuni za ujenzi na kampuni ya gesi,hizo biashara mtaji billions kama si Trilioni vilevile anashare zake za kitosha Tigo.

Ayo Level zake akina Vunjabei, Frank Knows nk.Hata robo ya robo ya hela aliyokuwa nayo Rostam hajaifikia, jitu lina uwezo wa kununua mtambo wa kuchimba madini karibia USD mil 6 na sio mmoja anayo kibao.

Acha kumtukana Rostam.Umeliona hilo gari ,sasa Rostam anayo hayo na mitambo mingine kibao anawakodishia makampuni ya madini.
images (73).jpeg
 
Hakika ni kweli Dozen ana pesa sawa na Mond na Milard, happy 😀😀

Next time go and learn about LEAGUES
Wapi nimeandika "Dozen ana pesa kuliko hao uliowataja hapo?!"

Nimeunga mkono hoja kwamba Millard Ayo yuko vizuri, nikamuongezea hata Dozen pia kwa sababu ni moja ya vijana wanaojua wanachokifanya. Wacha kuwekea watu maneno ambayo hawakuyaandika.

Na sibishaniagi visivyo na mantiki na faida maishani. Haya ni mazungumzo tu ambayo hayamnufaishi yeyote hapa! Fanya yatakayoingizia taifa faida na wewe mwenyewe kijana.

Uwe na maisha mema 👍🏾
 
Acha kumtukana Rostam, Rostam level za kina Bakheresa, Mo nk.Hana biashara yoyote na Ayo. Rostam unazungumzia Billions of money,ana mikampuni ya Migodini, Kampuni za ujenzi na kampuni ya gesi,hizo biashara mtaji billions kama si Trilioni vilevile anashare zake za kitosha Tigo.

Ayo Level zake akina Vunjabei, Frank Knows nk.Hata robo ya robo ya hela aliyokuwa nayo Rostam hajaifikia, jitu lina uwezo wa kununua mtambo wa kuchimba madini karibia USD mil 6 na sio mmoja anayo kibao.

Acha kumtukana Rostam.Umilona hilo gari ,sasa Rostam anayo hayo na mitambo mingine kibao anawakodishia makampuni ya madini.
View attachment 2827051
Huwa nashangaa sana watu wanaowasifia kina Rostam sijui Ghalib kwa utajiri wao, hao wanajulikana kwamba ni majizi na mafisadi ya nchi, na asilimia kubwa ya utajiri wao umepatikana kwa njia hizo

Biashara zao wanashirikiana na kina Kikwete na Makamba na ni kama serikali yote wameiweka mfukoni, kwa kifupi hao ndio wanacontrol uchumi wa bongo, kama familia za kina Rothschild na Rockefellers zinavyocontrol uchumi wa dunia tu

Yani hii nchi matajiri wasio na kashfa hizo na wanaotakiwa kusifiwa ni angalau kina Dewji, Bakhresa, marehemu Mengi, marehemu Mufuruki et al, ila hao wengine tuendelee kudanganywa na kuibiwa tu
 
Huwa nashangaa sana watu wanaowasifia kina Rostam sijui Ghalib kwa utajiri wao, hao wanajulikana kwamba ni majizi na mafisadi ya nchi, na asilimia kubwa ya utajiri wao umepatikana kwa njia hizo

Biashara zao wanashirikiana na kina Kikwete na Makamba na ni kama serikali yote wameiweka mfukoni, kwa kifupi hao ndio wanacontrol uchumi wa bongo, kama familia za kina Rothschild na Rockefellers zinavyocontrol uchumi wa dunia tu

Yani hii nchi matajiri wasio na kashfa hizo na wanaotakiwa kusifiwa ni angalau kina Dewji, Bakhresa, marehemu Mengi, marehemu Mufuruki et al, ila kuhusu hao wahuni endeleeni kudanganyana tu
Hamna mfanyabiashara asiyekuwa karibu na mwanasiasa hayupo na hata hizi biashara zao wanasiasa wanazitumia kitakatisha hela zao. Kwa Afrika mfanyabiashara ukiwakataa wanasiasa ambao wanataka kuwekeza hela zao chafu lazima uundiwe zengwe na biashara utafunga.
 
usikariri mzee millard kwa mujibu wake mwenyewe anaingiza kama million 210 kwa mwezi kutoka kwenye real estate na biashara nyingine anazofanya na kina rostam aziz, na yeye hatumii pesa ovyo kama diamond, kwa mwezi millard ayo hata afanye matumizi gani hawezi maliza hata million 2 kijana ana nidhamu yule mwezake diamond atanunua mabwanga huko, atahonga kenya hadi south mwisho wa mwezi anabaki na laki tisa kutoka million 200
Acha uongo ayo kazi anayoweza kufanya na rostam labda kumfanyia matangazo ya biashara zake tu.

Unamkosea sana rostam kijana.

Alafu diamond kuna wasafi bet, hivi unajua pesa zilizopo kweny betting ww? Sasa Mond ana hisa 40+ wasafi bet.

Wasafi media ana hisa 40+ unajua wanaingiza kiasi gn wasafi media kwa mwezi?

Kuna label ya wcb wale wasanii wote kila mtu anachukua 40% ya kile anachoingiza, fikiria hao wasanii wote wanaingiza bei gn huko kwenye digital platforms zote? Maana wasanii wa wasafi wapo top ten ya wasanii wanaouza zaidi muziki nchini YouTube,boomplay, audiomack,spotfy,apple music nk.

Sasa bado yeye diamond ndo msanii namba moja east africa ambaye anauza zaidi ktk hizo digital platforms, diamond anaongoza kusikilizwa kote, youtobe,audiomark, boomplay, spotfy, apple music nk.

Nakutolea mfano spotfy peke yake stream milion 1 wanalipa dola 10,000 sasa jiulize ana stream ngap?

Matangazo peps,airtel unajua analipwa bei gn? Kuna kipindi cha nyuma alihojiwa akasema analipwa zaid ya milion 200 kwa mwezi kwa matangazo tu pekee hao airtel na peps na ni muda mrefu maana yake lazima garama ipande kwasasa.

Show zake nje ya nchi analipwa si chini ya dola 70,000 kwa show , ndomana unaona hapa ndani nchini hapigi sana show kwasababu gharama zake mapromoter hawafiki bei, anaandaa show zake mwenyewe.

Fikria wasafi festival makampuni yote yale yaliodhamini wasafi festival anaingiza kias gn? Kumbuka hiyo wasafi festival wasanii wanasafiri na ndege kwenda na kurudi sio coaster mziki mnene na fiesta. Huyu jamaa ana pesa kwasasa.

Fikiria ule utapeli wasafi fm wa mchongo pesa anapiga sh ngap?

Una mlinganisha na mallard ambaye anategemea zaid matangazo kupitia ayo TV? Ni kweli millard kwa sas ni tajiri Anafanya kazi na makampun makubw ktk matangazo lkn hayupo level za diamond.

Kumbuka ana miliki gari ya bilion 2 RR, bado zile v8 zipo 3, kuna zile cadilac zipo 2 sio chini ya milion 300 kwa kila gari, ana miliki nyuma South Africa.

Huyu kijana kwasas ni tajiri na pesa haifichi
 
Wapi nimeandika "Dozen ana pesa kuliko hao uliowataja hapo?!"

Nimeunga mkono hoja kwamba Millard Ayo yuko vizuri, nikamuongezea hata Dozen pia kwa sababu ni moja ya vijana wanaojua wanachokifanya. Wacha kuwekea watu maneno ambayo hawakuyaandika.

Na sibishaniagi visivyo na mantiki na faida maishani. Haya ni mazungumzo tu ambayo hayamnufaishi yeyote hapa! Fanya yatakayoingizia taifa faida na wewe mwenyewe kijana.

Uwe na maisha mema 👍🏾
Mada inahusu Milard anapesa kuliko Mond it means tunawashindanisha hii inamaana ukimuingiza mtu mwengine nayeye umemuingiza kwenye ushindani (League) that why utaona Kuna hoja jamaa kamtaja Milard na Rostam kwamba wanafanya Biashara moja wamempinga kwasababu Rosatam si wakufanya Biashara na Ayo Ni League tofauti.

Narudia tena go and learn about LEAGUES maana next time tunaweza ongelea Mancity na Man United wewe ukaanza kuingiza Yanga au Simba
 
Acha kumtukana Rostam, Rostam level za kina Bakheresa, Mo nk.Hana biashara yoyote na Ayo. Rostam unazungumzia Billions of money,ana mikampuni ya Migodini, Kampuni za ujenzi na kampuni ya gesi,hizo biashara mtaji billions kama si Trilioni vilevile anashare zake za kitosha Tigo.

Ayo Level zake akina Vunjabei, Frank Knows nk.Hata robo ya robo ya hela aliyokuwa nayo Rostam hajaifikia, jitu lina uwezo wa kununua mtambo wa kuchimba madini karibia USD mil 6 na sio mmoja anayo kibao.

Acha kumtukana Rostam.Umilona hilo gari ,sasa Rostam anayo hayo na mitambo mingine kibao anawakodishia makampuni ya madini.
View attachment 2827051
madogo mna kariri sana kwakua taarifa za kina rostam za pesa ziko mitandaoni basi taarifa ambazo hazipo mitandaoni hamzifanyii kazi, ukiambiwa account ya millard ayo pale barclays kwa mujibu wa hackers ina zaidi ya dola million 350 huyo anashindanaje na diamond huyo wenzake ni kina rostam
 
😂😂😂 $ 350M, a most comedic thing i read today.
 
Vijana wapuuzi sana.

Hivi wanaijua thamani ya hiyo hela 350m usd walioitaja kweli ?

Hiyo hela waliyoitaja inanununua Asset zote za hiyo Baclays bank Tanzania.. na hela inabaki.

Mtu mwenye hiyo pesa anaingia 10 bora katika list ya Matajiri Tanzania nzima.

Gsm mwenyewe utajiri wake wote haujafikia thamani ya hiyo hela 350m usd.. halafu tunadanganyana millard ayo anayo kwenye account yake ya bank
 
Tena anayo in form of liquidity cash ambapo economically mtu mwenye liquiy cash hio automatically lazima awe na Assert za at least $ 400M pia kwamaana Ayo utajiri wake unafika around 600M U$D ni Bakhresa huyo.

Afya ya akili ni ukweli ujue
 
madogo mna kariri sana kwakua taarifa za kina rostam za pesa ziko mitandaoni basi taarifa ambazo hazipo mitandaoni hamzifanyii kazi, ukiambiwa account ya millard ayo pale barclays kwa mujibu wa hackers ina zaidi ya dola million 350 huyo anashindanaje na diamond huyo wenzake ni kina rostam
Brother sipo humu kuuza chai nina wanangu wamesoma Mining na Electromechanical Engineering UDSM,so kuhusu Roastam ninacho kiongea na kifahamu.

Huko kwenye IT ndio moja ya field yangu,hivi tuanzie hapo hivi unavyojua Network ya Baclays inakuwa manage na nani? Au unazani mbongo?

Hivi unazani kuhack mtandao kama Barclays ni swala dogo, kawadanganye wenzio wa kwenye vijiwe,bongo hakuna hackers kuna hawa Script Kiddies,hamna Black Hackers bongo,ambao wanaweza kuhack makampuni makubwa bila kuacha alama na kucreate backdoor bila kujulikana. Hebu nyamaza hapo sijaamua kufunguka, you know nothing about Cybersecurity.

Eti Madogo,hatujuani humu,kawadanganye madogo wenzako. Bongo kuna mahackers wa kuahack hizi social account ambazo hata wewe ukingia Youtube unaweza.
 
Bongo hakuna hackers akili yako inakwambia hackers lazima azaliwe Russia sikia wewe hackers wanafanya kazi kwa team, Bongo wapo wengi sema huwezi kutana nao kwenye dala dala, halafu kuhusu kuhack barclays brother mbona watu wanahack kila siku sema zile taarifa zinazoibwa zinauzwa black market huko, watu wanahack hadi pentagon networks unasema kuhusu bank nyie, kweli taarifa ni kitu cha gharama, ila uzushi taairifa fake ndio vitu vya bure kabisa.

Q
 
Brother sipo humu kuuza chai nina wanangu wamesoma Mining na Electromechanical Engineering UDSM,so kuhusu Roastam ninacho kiongea na kifahamu.

Huko kwenye IT ndio moja ya field yangu,hivi tuanzie hapo hivi unavyojua Network ya Baclays inakuwa manage na nani? Au unazani mbongo?

Hivi unazani kuhack mtandao kama Barclays ni swala dogo, kawadanganye wenzio wa kwenye vijiwe,bongo hakuna hackers kuna hawa Script Kiddies,hamna Black Hackers bongo,ambao wanaweza kuhack makampuni makubwa bila kuacha alama na kucreate backdoor bila kujulikana. Hebu nyamaza hapo sijaamua kufunguka, you know nothing about Cybersecurity.

Eti Madogo,hatujuani humu,kawadanganye madogo wenzako. Bongo kuna mahackers wa kuahack hizi social account ambazo hata wewe ukingia Youtube unaweza.

Vijana wapuuzi wanafikiri baclays bank wanatumia system za kienyeji.

Baclays bank wanatumia Oracle banking system.

Kuna mbongo anaweza ku hack system ya Oracle kweli ?

Dogo aende hata aka google aone hao Oracle ni kina nani ?

Kampuni inayomiliki software anayoitumia baclays.. mapato inayoingiza kwa mwaka. Ni makubwa kuliko pato la taifa la Tanzania kwa mwaka.. kampuni inaizidi nchi kwa mapato. inaanzia wapi kuwa hacked kizembe zembe
 
😂😂😂 $ 350M, a most comedic thing i read today.
mzee unakumbuka report ya CAG tumeshawahi pigwa trillion kumi, sasa hizo hela kwa akili yako watu wamezifukia chini ya ardhi au, ndio barclays na banks nyingine za kimataifa watu wameweka mizigo acha kukariri tafuta pesa.
 
Vijana wapuuzi wanafikiri baclays bank wanatumia system za kienyeji.

Baclays bank wanatumia Oracle banking system.

Kuna mbongo anaweza ku hack system ya Oracle kweli ?

Dogo aende hata aka google aone hao Oracle ni kina nani ?
kama huna kitu kichwani kaa kimya hutapungukiwa na kitu usiongee vitu usivyovijua
 
Attachments

  • hackers.PNG
    hackers.PNG
    24.1 KB · Views: 6
Back
Top Bottom