Sasa mzee ukisema unafahamiana na Dozen personal then hakuna haja ya kuwa na huu mjadara hapa maana wote tuliopo hapa hatumjua Diamond personal lakini unaona watu wanaweka Financial details za kutosha makampuni Wasafi, ma level WCB, ma project Wasafi Festival, Endorsement Pepsi nk, Online Streaming, Pertineship Kama Wasafi bet hatumjui personal lakini tunataja Dozens of his Cash flow streams na hii ndio maana ya utajiri wa mtu maarufu hata MO, Bakhresa nk huitaji kuwajua personal Sasa wewe huyo Dozen mpaka umjue personal ndio ujie ana nini jua hii sio Leaguy zake mzee