Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

Kulingana na vyanzo vya habari, inaonekana kuwa Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii matajiri zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Millard Ayo na Diamond Platinumz wana kazi tofauti na kuzingatia vigezo tofauti linapokuja suala la utajiri.
yo ana engagement kubwa na walaji wake na anaaminika Kuliko chanzo kingine Tanzania.
Jana nilikuwa kanisani mchungaji kasema acha kudandia hbr na taarifa zizizo kuhusu unapoteza muda
 
Ingawa mond amekuwa na kelele nyingi sana kuhusu kipato chake na kutushawishi kabisa kwamba inawezekana ndiye kijana ambaye ana utajiri mkubwa kuliko wote hapa TZ.

Lakini ukimya wa milard ni wa kutilia mashaka sana,hajawahi kusema popote kwamba analipwa mshahara mkubwa kuliko mkurugenzi wa CMG[emoji1][emoji1],mpaka kusaga mwenyewe alipohojiwa.hii ni dalili kwamba mambo mengi kayaficha sana.

By the way Mungu aendelee kuwabariki zaidi na zaidi,na wawe milango ya mafanikio ya wengine wengi pia.
 
Duh kwahyo Millard alikuwa na mshahara mkubwa kuliko Ruge??
 
Back
Top Bottom