Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

Duh miladi ayo mobaili ua sio. Hivi ukidanganya unafaidika nn labda muda mwingine tuwe watu wazima na sio lazima sisi kujua vipato vyao havina msaada kwetu. Cha msingi tafuta code ya meza yako ishi kivyako
 
Wakuu kama Kuna mmoja anakaa geita ataamin mji ule vijana wanashindania magari ya Bei mbaya hujapat ona
 
Unauhakika kwamba Tanzania Kuna Rolls Royce moja???
Unachobisha ni nn sasa? Tanzania nzima rolls Royce culinan ni moja tu hiyo diamond.

Zipo rolls Royce matoleo ya zaman tena hazifiki hata 5 bongo ila hiyo diamond ni moja tu.

Hiyo gari ni ya pesa nyingi ww fikiria hapa Africa wasanii wanayoimiliki ni wachache hawafiki wa 5
 
[emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1]mkuu wabongo wengi tuu wanazo RR kuna jamaa mchaga anamiliki RR wakati huo diamond ndo anaiota
Muwe mnaelewa hizo RR zilizopp bongo no matoleo ya zaman, ila hiyo diamond RR culinan bongo ipo moja tu hiyo ya diamond alafu hizo zingine unazosema ww hazifikii thaman kama hiyo diamond.
 
Back
Top Bottom