Inawezekana mtu aliesoma sayansi advanced kusomea Sheria chuoni

Unaweza soma postgraduate diploma ya sheria baada ya kuhitiku hiyo degree yako
Postgraduate diploma (PG) anasoma mtu mwenye degree ili kumsaidia kubadili mchepuo/fani n.k .,.. pia kwa wenye GPA chini ya 2.7 ushauriwa wasome postgraduate diploma ili kukidhi vigezo vya masters mfano mtu ana GPA ya 2.6,2.5,,... ... 2.0
Kwa hiyo mzee komaa tu ukimaliza gonga hiyo PG then masters ,then law school n.k
Hapo Sawa . Ubarikiwe Kaka ngoja panapo uhai nitaleta mrejesho kuwa now ni degree holder wa law.
 
Komaa hapo umalize chuo ukianza kushika hela utakuja gundua kusoma Ni waste of time

Hela haziitaji cheti ulili uzipate siku hizi

Zinahitaji akili yako iliyotulia na kuchakata fursa zinazokuzunguka

Komaa Ni hio kozi siku watu wa hio fani wanapiga hela sana kitaa free kifuta jasho

Pia Kuna kazi kibao huko upwork na kwingineko

Kwa huo umri unataka Tena uende miaka minne chuo na mmoja law school what a waste time ?

Kimbizana na muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. "the trouble is we think we have time"
 
Soma TCU guide book ambayo ni current. Utaona kwamba mtu aliesoma PCB au PCM anaweza soma kozi yoyote level ya chuo kikuuu provided that cut off points zinamruhusu. Ni kozi chache sana watu wa PCB na PCM hawezi zichukua chuo kikuu. Ila sheria, mauhasibu na manini nini hayoo wanayasoma kirahisi mno. Hasa kama ana pass kwenye somo la ENGLISH LANGUAGE OLEVEL
 
Ngoja nifuatilie
 
Advance umesoma masomo ya kibabe halafu huku mbele unaenda kusoma masomo ya kinamama
 
Unaweza iwapo tu ulifaulu English na history o level. Kinachoangaliwa kwenye sheria ni English na History either ya o level u advance ukiwa ulifaulu hayo masomo hata kama advance ulisoma pcm unachukuliwa. Karibu sana kwenye legal fraternity, sisi darasa letu lilikuwa na mmoja alitoka pcb
 
... inawezekana ila kwa background yako uliyotuwekea hapa komaa huko huko achana na sheria mkuu. Sehemu nyingine ambapo unaweza kupiga bao la maana ni ubunge. Kama una kipaji cha kupiga domo weka nia ndani ya muda mfupi wewe ni milionea; haihitaji akili nyingi ni domo lako tu na kucheza na hisia za wanyonge.

hhhh
 
Sayansi unasoma degree za arts zote ila Arts hasomi za sayansi..... nenda kapige PG hapo UDSM kisha chukua Masters ya Law baadae unashushia na ile CPA yao watu wa sheria.
Mimi nilisoma CBG ila matokeo hayakuwa mazuri, nikapiga Diploma ya Sayansi kisha Degree ya Finance na hapa Mpango ni Kuendelea na Haya masomo ya Fedha/Bishara.
Hauwezi kuwa adimited katika Law school kama hauna LL.B yan hata uwe na PHD ya law hauwezi kusoma law school kama hauna LL.B. so asijisumbue kusoma hiyo PG kama anatak kuwa mwanasheria/wakili. Ila tu anawez kuja kusoma LL.B kikubwa aangalie adimission requirement yakila chuo maan kuna baadhi ya vyuo(sio vyote) hata mtu aliyetoka science anaweza kuwa admitted kwa kuangalia background yake ya English na History olevel. Vyuo kama UDSM,Mzumbe,Udom m najua kwasasa hivi hawachukui mtu asiyesoma Kat ya English au History advance. Labda zaman nd walikuwag wanachukua wote wote ila sikuhz vigezo wamebana.
 
Asante kwa maelekezo mazuri
 
Unaweza soma postgraduate diploma ya sheria baada ya kuhitiku hiyo degree yako
Postgraduate diploma (PG) anasoma mtu mwenye degree ili kumsaidia kubadili mchepuo/fani n.k .,.. pia kwa wenye GPA chini ya 2.7 ushauriwa wasome postgraduate diploma ili kukidhi vigezo vya masters mfano mtu ana GPA ya 2.6,2.5,,... ... 2.0
Kwa hiyo mzee komaa tu ukimaliza gonga hiyo PG then masters ,then law school n.k
Hakuna kitu kama hiki chief yaan usome postgraduate ya Sheria sijui miezi Saba sijui sita alafu ndo uende law school? Sifa moja muhimu ya kuwa admitted pale law school ni kuwa na bachelor of law wala sio masters au postgraduate diploma
 
Back
Top Bottom