Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
- Thread starter
-
- #21
Hapo Sawa . Ubarikiwe Kaka ngoja panapo uhai nitaleta mrejesho kuwa now ni degree holder wa law.Unaweza soma postgraduate diploma ya sheria baada ya kuhitiku hiyo degree yako
Postgraduate diploma (PG) anasoma mtu mwenye degree ili kumsaidia kubadili mchepuo/fani n.k .,.. pia kwa wenye GPA chini ya 2.7 ushauriwa wasome postgraduate diploma ili kukidhi vigezo vya masters mfano mtu ana GPA ya 2.6,2.5,,... ... 2.0
Kwa hiyo mzee komaa tu ukimaliza gonga hiyo PG then masters ,then law school n.k
Kila lakheriHapo Sawa . Ubarikiwe Kaka ngoja panapo uhai nitaleta mrejesho kuwa now ni degree holder wa law.
Umaskini ndio source mkuuElimu ya bongo ni jau sana.
. "the trouble is we think we have time"Komaa hapo umalize chuo ukianza kushika hela utakuja gundua kusoma Ni waste of time
Hela haziitaji cheti ulili uzipate siku hizi
Zinahitaji akili yako iliyotulia na kuchakata fursa zinazokuzunguka
Komaa Ni hio kozi siku watu wa hio fani wanapiga hela sana kitaa free kifuta jasho
Pia Kuna kazi kibao huko upwork na kwingineko
Kwa huo umri unataka Tena uende miaka minne chuo na mmoja law school what a waste time ?
Kimbizana na muda
Sent using Jamii Forums mobile app
And that is your problem. "the trouble is we think we have time"
Ngoja nifuatilieSoma TCU guide book ambayo ni current. Utaona kwamba mtu aliesoma PCB au PCM anaweza soma kozi yoyote level ya chuo kikuuu provided that cut off points zinamruhusu. Ni kozi chache sana watu wa PCB na PCM hawezi zichukua chuo kikuu. Ila sheria, mauhasibu na manini nini hayoo wanayasoma kirahisi mno. Hasa kama ana pass kwenye somo la ENGLISH LANGUAGE OLEVEL
... inawezekana ila kwa background yako uliyotuwekea hapa komaa huko huko achana na sheria mkuu. Sehemu nyingine ambapo unaweza kupiga bao la maana ni ubunge. Kama una kipaji cha kupiga domo weka nia ndani ya muda mfupi wewe ni milionea; haihitaji akili nyingi ni domo lako tu na kucheza na hisia za wanyonge.
Hauwezi kuwa adimited katika Law school kama hauna LL.B yan hata uwe na PHD ya law hauwezi kusoma law school kama hauna LL.B. so asijisumbue kusoma hiyo PG kama anatak kuwa mwanasheria/wakili. Ila tu anawez kuja kusoma LL.B kikubwa aangalie adimission requirement yakila chuo maan kuna baadhi ya vyuo(sio vyote) hata mtu aliyetoka science anaweza kuwa admitted kwa kuangalia background yake ya English na History olevel. Vyuo kama UDSM,Mzumbe,Udom m najua kwasasa hivi hawachukui mtu asiyesoma Kat ya English au History advance. Labda zaman nd walikuwag wanachukua wote wote ila sikuhz vigezo wamebana.Sayansi unasoma degree za arts zote ila Arts hasomi za sayansi..... nenda kapige PG hapo UDSM kisha chukua Masters ya Law baadae unashushia na ile CPA yao watu wa sheria.
Mimi nilisoma CBG ila matokeo hayakuwa mazuri, nikapiga Diploma ya Sayansi kisha Degree ya Finance na hapa Mpango ni Kuendelea na Haya masomo ya Fedha/Bishara.
Asante kwa maelekezo mazuriHauwezi kuwa adimited katika Law school kama hauna LL.B yan hata uwe na PHD ya law hauwezi kusoma law school kama hauna LL.B. so asijisumbue kusoma hiyo PG kama anatak kuwa mwanasheria/wakili. Ila tu anawez kuja kusoma LL.B kikubwa aangalie adimission requirement yakila chuo maan kuna baadhi ya vyuo(sio vyote) hata mtu aliyetoka science anaweza kuwa admitted kwa kuangalia background yake ya English na History olevel. Vyuo kama UDSM,Mzumbe,Udom m najua kwasasa hivi hawachukui mtu asiyesoma Kat ya English au History advance. Labda zaman nd walikuwag wanachukua wote wote ila sikuhz vigezo wamebana.
PamojaAsante kwa maelekezo mazuri
Hakuna kitu kama hiki chief yaan usome postgraduate ya Sheria sijui miezi Saba sijui sita alafu ndo uende law school? Sifa moja muhimu ya kuwa admitted pale law school ni kuwa na bachelor of law wala sio masters au postgraduate diplomaUnaweza soma postgraduate diploma ya sheria baada ya kuhitiku hiyo degree yako
Postgraduate diploma (PG) anasoma mtu mwenye degree ili kumsaidia kubadili mchepuo/fani n.k .,.. pia kwa wenye GPA chini ya 2.7 ushauriwa wasome postgraduate diploma ili kukidhi vigezo vya masters mfano mtu ana GPA ya 2.6,2.5,,... ... 2.0
Kwa hiyo mzee komaa tu ukimaliza gonga hiyo PG then masters ,then law school n.k
Kwa miaka hii neverinawezekana kabisa mzee maana sayansi ina uwanja mpana tu