Point of No Return 19
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 203
- 472
Mkuu Kuna biashara nzuri ambayo watu hawajaigundua, fanya biashara ya kuuza ndizi za kuchoma kwenye mkaa. Tafuta ndizi flani sijui zinaitwaje, ni nzuri sana kwa kuchoma we kachome hizo uza 3 buku, kumbuka watu wengi hawataki vitu vya mafuta so ndizi utauza, ukifanikiwa ulete zaka kwangu.Inawezekana niamke asubuh na kwenda kariakoo ikiwa Sina office yeyote hapo ???? Udalali huwa unafanywaje jamani
Huyo nelson alikua dereva wa magari ya wakimbiz kule kigoma atoe connectionNimekuonea huruma sana, ngoja nikuombee watu waje wakupe mwanga kwakuwa una mwamko wa kufanya kazi.
MamaSamia2025 Wewe si una connection hadi kwenye machimbo China? Naamini huku pia una fahamu
Nelson Jacob Kagame Wewe mtoto wa mjini hukosi kujua...
Tuisaidie jamii sio kuwapa ubuyu tu... [emoji12]
Huyo ni jungu kuu, ngoja aje.Huyo nelson alikua dereva wa magari ya wakimbiz kule kigoma atoe connection
Auze na mishkaki nikiwaga kariakoo ndio chakula changu nikiwaga kariakooMkuu Kuna biashara nzuri ambayo watu hawajaigundua, fanya biashara ya kuuza ndizi za kuchoma kwenye mkaa. Tafuta ndizi flani sijui zinaitwaje, ni nzuri sana kwa kuchoma we kachome hizo uza 3 buku, kumbuka watu wengi hawataki vitu vya mafuta so ndizi utauza, ukifanikiwa ulete zaka kwangu.
Bonge moja la idea.Mkuu Kuna biashara nzuri ambayo watu hawajaigundua, fanya biashara ya kuuza ndizi za kuchoma kwenye mkaa. Tafuta ndizi flani sijui zinaitwaje, ni nzuri sana kwa kuchoma we kachome hizo uza 3 buku, kumbuka watu wengi hawataki vitu vya mafuta so ndizi utauza, ukifanikiwa ulete zaka kwangu.
Wakinga na Wachaga au watanzania wanaoagiza mzigo kutoka China mara nyingi huuza wenyewe mizigo yao tofauti na wachina. Wachina huagiza mizigo kwao kwa simu tu, ambao naamini bei zao za manunuzi huko kwao zina punguzo maalum (kwa maana raia wa nchi mzigo utakapo) hivyo kufanya mzigo wanayo agiza wao kuwa cheap.
Kwa kujibu swali lako, ni hivi, wao wachina mfano kwa case ya viatu ama yeboyebo na bidhaa nyingine, hufungua mzigo wa aina mpya karibu kila siku.
Yale maduka uyaonayo wanaweka tu display lakn mzgo hasa huwa store eneo lingine. Sasa katika zile aina tofuati, huwa kunatokea ambayo hupendwa na wateja kupitiliza. Kwahiyo wewe dalali kwa hela yako, unaenda kwa huyo muuzaji unaununua huo mzigo wote kisha unauuza wewe kwa kuongeza bei kidgo juu yake. Lakn hapa lazma uwe na mtaji na ujulikane na ulijue soko vizuri.
Ukishakuwa tajir na una hela ya kutosha, basi ukisikia mfano (usininukuu lakan) kipodizi fulani original kinatembea sokoni wewe unatemb
Labda 'connection' yako...zebodi vipi connection hana
Mkuu mishikaki watu wanaogopa kulishwa nyama za mbwa na vibuduAuze na mishkaki nikiwaga kariakoo ndio chakula changu nikiwaga kariakoo
Kwahiyo kumbe huu uchokozi wako ulikuwa unanipima? Siku hizi nina amani sana sina hasira za hovyo...sema wee kazi unaonekana unayo.kwajinsi usivyo nahasira ungekuwa hunakazi mapematuu ningekuweka kwenyeduka langu lasimu unikusanyie maokoto
Mkuu sasa tutafanyaje watu tumekula sana vibudi bila kujua, nyama nyingi mjini za mchongo mkuu , amin na kwambiaMkuu mishikaki watu wanaogopa kulishwa nyama za mbwa na vibudu