Inawezekana niamkie Kariakoo na kupata kipato ikiwa sina ofisi wala chochote?

Maneno mengi ni nnya! Huwezi kuandika kidogo ukaeleweka? Mxiuuuuh!
 
Haya ni madini ya kutosha. Wewe bila shaka unafanya biashara hapo Kariakoo. Hapo Kenya TU, Wachina washagombana na wafanyabiashara wa Kenya Kwa sababu hii hii . Lazima wenyeji walindwe ili uchumi wao ukue otherwise Wachina wa Kariakoo uchumi wote watahamishia kwao na kuongeza umasikini Kwa wenyeji. Egypt TU hapo, Kuna zuio la kuuza sukari nje ili kuwalinda Raia na kupanda Kwa bei ya sukari.
 
Serikali imelala. Mbona huo uchafu hawapeleki Ulaya na Marekani!?
 
Ndizi bila nyamwa
 
Connection haziji bila kujichanganya na watu. Mwaka 2013 na 14 nilikuwa naenda Kkoo kila siku kwa sababu ya kutumwa na watu wangu wa mikoani. Kilichosababisha ni mimi kuwa najitolea mambo mengi kwenye ishu za watu na matokeo yake ni wao kukupa madili ya hapa na pale. Kama yeye ni wale wanaojiita Introvert wakati kiuhalisia ni wabinafsi ninamshauri asiende Kkoo atapoteza muda. Ila kama ni mtu wa kujichanganya anaweza kujaribu.
 
Mpe basi hizo mbinu za kujichanganya Mkuu? Kariakoo sio pa kwenda tu kichwakichwa.
 
Ukiwaruhusu importers kuwa retailers jua kuwa umeshaangamiza wale wenye mitaji midogo na unakuwa umetengeneza monopoly ktk biashara. Wachina ni watu wa magumashi mno kuliko tunavyowachukulia poa poa. Hao watu wana madili mengi ya haramu ukiachana na hizi biashara za kuzugia (kuingiza viatu,yeboyebo na bidhaa nyingine feki), wafanyabiashara wakubwa wa kichina hutumiwa na wafanyabiashara haramu kutakatisha fedha
 
Mpe basi hizo mbinu za kujichanganya Mkuu? Kariakoo sio pa kwenda tu kichwakichwa.
Pesa ipo kama ana nia asonge mbele atajifunza mbele kwa mbele. Muulizaji wa muda wa kufika mara nyingi huwa sio msafiri.
 
Ukifika maeneo ya utafutaji siku zote jifanye mjinga ili ujifunze, kuwa na adabu na heshima kwa uliowakuta ili uweze kufanikiwa kingine ni jitihada zako binafsi na umuombe Mungu tu.
 
Nenda kariakoo physically usipoteze muda sana kutafuta ushauri.....nenda tafuta kazi kwenye maduka weka pozi hapo nje saidia kazi...anza kufahamiana na watu waulize wanafanyeje kupata kipato utapata ujuzi mwingi......
 
Siku hizi afya za watu ni biashara mkuu mimi tangu nimejua nguvu iliyoko kwenye matunda na mimea naiheshimu sana asee, ni vile tu hatuna elimu na maarifa mengi yanafichwa ndio maana tunabugishwa haya makemikali, ila hakuna gonjwa lolote hapa dunani lisilotibika
 
Mpe basi hizo mbinu za kujichanganya Mkuu? Kariakoo sio pa kwenda tu kichwakichwa.
Kama bado ni kijana mdogo aanzie pale nyumbani kwao. Ashiriki shughuli za familia hadi za majirani. Atengeneze kwanza kuaminika ngazi ya chini kabisa.
 
Watu gani hawataki vitu vya mafuta has, biashara ya chips zingekufašŸ˜‚
 
Umeishauri vyema sana serikali. Nchi ya Zambia raia wamegaragazwa kinoma na wachina kwa kuwaruhusu hadi kufungua maduka ya mangi mitaani. Mchina alivyo mshenzi anafungua duka ambalo ndani kuna hadi mbogamboga na matunda kwa bei ya mtaani. Hao jamaa hawafai. Serikali ikiwachekea utashangaa unawakuta hadi Namanyere wamefungua maduka. Zambia ni mfano hai wa nchi iliyovurugwa na hawa viumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…