Inawezekana niamkie Kariakoo na kupata kipato ikiwa sina ofisi wala chochote?


Kama ilivyokuwa kwa wahindi zamani walileta mitumba, kisha huiza kwa jumla pale kitumbini na hivyo chain yao huishia hapo, baada ya hapo anakuja Chinga kununua kwa jumla halafu anaenda kuuza rejareja kwa final consumers.

Ingekuwa naweza mshauri waziri wa fedha, namwambia awape eneo mbali kama chalinze hivi wachina walete mali zao kwa jumla waishie hapo, kisha waje wabongo wanunue kwao waje wauze kariakoo na mtaani. Kamwe mgeni asishindane na mgeni kumuuzia final consumer.

Haya madubwi unayoona mtaani, leseni yake ni ngumu kwa mtanzania kumiliki maana inahitaji hela ndefu sana kama deposit. Wao wachina mtu mmoja anaweza aka deposit hiyo sum akaruhusu wengine (wachina) waifanye kwa leseni yake. Mashine moja (slot) mchina anaweza achukue hadi 700k kwa wiki. Hizo fedha ni zake ana convert kwa currency anayotaka kisha anapeleka kwao.

Lakn tungerkebisha sheria ya leseni, ikawa rahisi halafu kila mtanzania akaweza, maana yake ni kuwa kuna hela itabaki nchini. Slot machine moja hadi 1.2m unaweza agiza ukawanayo mkononi.
 
Unafanya biashara kwa length gani kumake profit au kufanya nini maana ukisema kariakoo market ni vijana, walaji ni vijana uweke biashara ya wazee kweli
Ndizi za kuchoma wote wanakula kwasababu ni bei rahisi pia unashiba vzr
 
Hivi hii mada kweli ni ya mapenzi na urafiki jamani au moderators wa JF wapo likizo? Ndio maana nimeona watu wengi wanaocomment humu ni wale wa mapenzi na urafiki kumbe mada imepachikwa kwenye jukwaa lao! Hahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…