Inawezekana nikawa katika top 10 wa member wa JF wenye elimu kubwa

Kama una ellimu kubwa tuambie namna elimu yako kubwa ilivyokusaidia kutatua changamoto za jamii inayokuzunguka .Tuandikie kwa page kumi namna unavyoweza 2tumia elimu yako kutatua changamoto za watanzania.
 
hongera mkuu..mi najiona ndo mtu ata shule sijaenda nimeishia la 3 tu,lakn nafarijika kuwa nanyi hapa jf watu wenye maelimu makubwa makubwa, na tunashea aidiaz mbalimbal.. naamin nami nitaelimika tu kupitia humu japo sitapata ma vyeti.
 
Eti tanzania kuna chuo bora,bongo hakuna chuo chochote bora ,ni mataka taka tuu,chuo bora unavyovitaja havina ubora wowote ni majina tuu
 
;-)
 
Labda elimu ahela
 
Hatuwezi kushangaa kama boss wako ana elimu mbalimbali wewe unakosa vipi elimu kubwa?
 
Kama ni msomi wa chuo bora kwa nini una makosa mengi ya kiuandishi?Au wewe huyaoni?Na kama huyaoni basi elimu ya Tanzania ni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…