".... Mama muweke huyu, na huyu pia baba yake ametusaidia Sana, pia yule apewe angalau ka ukuu wa Mkoa maana ana kundi kubwa ambalo ni tegemeo kukuvusha 2025.... "
Wakati wapo kwenye huo ujinga miradi ya kimkakati yote imesimama, dawa hospitali hakuna, ....na siku si nyingi Bakhresa atakopwa ili kulipa mishahara ya watumishi.
Tupambanie KATIBA mpya ndugu zangu Watanzania,Ukitazama hii clip ndio utajua akili za washauri zikoje...
😃 Sio kwamba watamkatia kipande cha ardhi na kisha kuwataka wananchi wa eneo husika wapishe muwekezaji?".... Mama muweke huyu, na huyu pia baba yake ametusaidia Sana, pia yule apewe angalau ka ukuu wa Mkoa maana ana kundi kubwa ambalo ni tegemeo kukuvusha 2025.... "
Wakati wapo kwenye huo ujinga miradi ya kimkakati yote imesimama, dawa hospitali hakuna, ....na siku si nyingi Bakhresa atakopwa ili kulipa mishahara ya watumishi....!