Inawezekana Tanzania haijawa Tayari kwa mashindano makubwa ya kimataifa yanayoihusu timu ya Taifa

Pamoja na hoja nyingi pia kumbukeni Tanzania ni nchi masikini na watu wake kwa ujumla ni masikini sana.

Wachache sana wanaweza kufuliliza kuingia uwanjani toka siku ya ufunguzi hadi fainali. Wengi wetu ni hand-to-mouth.
Nimetoka kupost hili jambo.
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza alafu uwanja ni mtupu? Katika mechi zote tatu za Stars hakuna mechi hata moja tumejaza uwanja. Tutatia aibu sana mashindano ya 2027. Kuna wakati naona bora mashindano ya 2027 yahamishwe tu. Ladha ya soka ni mashabiki, sasa watu wamefanyiwa 2000 kiingilio na hawaendi uwanjani, seriously? Picha hapo chini ni mechi ya Stars ya Jana vs MadagascarView attachment 3437199View attachment 3437200​
Watu wako msiban kwa Ndugai
 
Hii historia iko darasa la ngapi? Sijawahi sikia mchango wa michezo au timu yoyote kwenye harakati za uhuru, waandishi walijisahau?!
Utaisikia wapi wewe mtoto mdogo muulize mzee said mohamed atakuambia.
 
Hakuna mwanayanga anaweza andika ujinga kama huu. Yanga ndo imeleta uhuru kupitia ccm. Huwezi kuwa mwanayanga usiwe ccm. Yanga ni team ya chama na ndo maana hata rangi zinafanana. Kama huelewi dogo.
Wewe ukubali tu bangi haikutaki. Ulichoandika hapa kinaonesha wazi wewe ni Chizi usiye na maarifa.
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza alafu uwanja ni mtupu? Katika mechi zote tatu za Stars hakuna mechi hata moja tumejaza uwanja. Tutatia aibu sana mashindano ya 2027. Kuna wakati naona bora mashindano ya 2027 yahamishwe tu. Ladha ya soka ni mashabiki, sasa watu wamefanyiwa 2000 kiingilio na hawaendi uwanjani, seriously? Picha hapo chini ni mechi ya Stars ya Jana vs MadagascarView attachment 3437199View attachment 3437200​
Sisi hatujajaza ww ulikuwepo uwanjani
 
Sasa mimi nataka kwenda kuangalia mpira halaf mara naona vinyago vya Samia kila mahali kama si ujuha ni nini….tumemwachia ajaze yeye Uwanja na machawa wake wakiongozwa na Msigwa
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza alafu uwanja ni mtupu? Katika mechi zote tatu za Stars hakuna mechi hata moja tumejaza uwanja. Tutatia aibu sana mashindano ya 2027. Kuna wakati naona bora mashindano ya 2027 yahamishwe tu. Ladha ya soka ni mashabiki, sasa watu wamefanyiwa 2000 kiingilio na hawaendi uwanjani, seriously? Picha hapo chini ni mechi ya Stars ya Jana vs MadagascarView attachment 3437199View attachment 3437200​
Watu wamechoka na siasa za Viongozi wao hakuna tena muunganiko wa Taifa kila mtu yuko kuiona serikali inaabika kwa kila kitu
 
Dawa Ni Tume Huru Ya Uchaguzi,
Viwanja Vingekuwa Vimejaa.
Na Sasa Si POLISICCM Wamesema Wana CHADEMA,tusikusanyike.
HAO WANAOKUJA VIWANJANI NI CCM TU.
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza alafu uwanja ni mtupu? Katika mechi zote tatu za Stars hakuna mechi hata moja tumejaza uwanja. Tutatia aibu sana mashindano ya 2027. Kuna wakati naona bora mashindano ya 2027 yahamishwe tu. Ladha ya soka ni mashabiki, sasa watu wamefanyiwa 2000 kiingilio na hawaendi uwanjani, seriously? Picha hapo chini ni mechi ya Stars ya Jana vs MadagascarView attachment 3437199View attachment 3437200​
Ingelikuwa poa sana kama ungelifanya "comparative analysis" ya mashabiki walivyoongia kwenye viwanja wenyeji kwa nchi zingine kwa idadi tukaona kwa uhalisia. Lakini kuongea kwa hisia tu, si sawa!
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza alafu uwanja ni mtupu? Katika mechi zote tatu za Stars hakuna mechi hata moja tumejaza uwanja. Tutatia aibu sana mashindano ya 2027. Kuna wakati naona bora mashindano ya 2027 yahamishwe tu. Ladha ya soka ni mashabiki, sasa watu wamefanyiwa 2000 kiingilio na hawaendi uwanjani, seriously? Picha hapo chini ni mechi ya Stars ya Jana vs MadagascarView attachment 3437199View attachment 3437200​
Haujakosea hata kidogo, hata wanaojiita wachambuzi, mainfuliencer, pamoja na page za Taifa stars hawana ubunifu, hawajui kupromote wala kuhype haya mashindano. Engagement ni ndogo sana kwenye hii tournament.
 
Binafsi hua siwezi kwenda uwanjani mana kwenye tv napata vile ambavyo nikiwa uwanjani sitoweza kupata.
 
Back
Top Bottom