Inawezekana tatizo la Samia ni uvivu tu !

Inawezekana tatizo la Samia ni uvivu tu !

Mama yangu haui watu, hana machawa, haonei watu, hachukui rushwa na kuweka mikataba ya kifisadi. Mama yangu na Mama asiye mbinafsi pamoja na mzee wametusomesha na bila rushwa , dhuluma na mauaji ya yeyote tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kumjali Mungu vilevile

Uchawi hauna ushahidi
 
Tatizo sio Samia(binafsi nampenda sana); tatizo ni chama chetu CCM, ambacho kimesahau misingi yake na kugeuka kutumia dola kujilinda dhidi ya hoja mbadala kutoka kwa vyama vya upinzani (vilivyo makini mf.CHADEMA).
 
Back
Top Bottom