Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Unachokitetea hukijui.... Hivi kwa mfano mdogo tu, wale trafic polisi wanaokuwa barabarani na vimashine vyao vya kukagulia magari kama yanadaiwa au la, wakikuta gari namba T 2020 JPM linadaiwa, watalidai lipi AU WATALIKAMATA LIPI kati ya hayo yote yenye namba hiyo..??? KUNA VITU KUVITETEA INABIDI MTU UWE NA AKILI YA MWENDAWAZIMUKalipe hela t.r.a uone kama hawakupatii ruhusa.
Sasa si uweke picha..!!Ndio wanazo zaid ya moja niliziona kwenye msafara wao
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Hapo je !!Ila picha zako ni za gari moja.
Kama nao wanazo zaidi ya moja kwa namba moja,ni uvunjifu wa sheria ule ule wanaoufanya CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu huwa wanahalalisha makosa yao kwa makosa ya wengine..!!! Ujinga mtupuIla picha zako ni za gari moja.
Kama nao wanazo zaidi ya moja kwa namba moja,ni uvunjifu wa sheria ule ule wanaoufanya CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingine ipi yenye namba kama hii?
..View attachment 1599537View attachment 1599538Nyingine ipi yenye namba kama hii?
Mi niliyaona matatuYapo magari mangapi? Kama yapo mengi Basi Ni shida.
Kawaulize..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unachokitetea hukijui.... Hivi kwa mfano mdogo tu, wale trafic polisi wanaokuwa barabarani na vimashine vyao vya kukagulia magari kama yanadaiwa au la, wakikuta gari namba T 2020 JPM linadaiwa, watalidai lipi AU WATALIKAMATA LIPI kati ya hayo yote yenye namba hiyo..??? KUNA VITU KUVITETEA INABIDI MTU UWE NA AKILI YA MWENDAWAZIMU
Umeziona mkuu au bado unazitafakari [emoji28][emoji23]Nyingine ipi yenye namba kama hii?
Hayi ni magari yamewekwa namba au jina moja tu kwa ajiri ya kampeni, lakini yana namaba tofauti kila moja. Na kwa vile yanatumika kwa kazi maalumu hakuna shida, ilimladi yanatoa taarifa kwenye vyombo husika.Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?
Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?
Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?
Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Umeshasema kila siku mnapiga kelelee kuhusu serikali ya ccm na bado mtapiga kelele sanaaàKila siku tunapiga kelele kuhusu Serikali hii na CCM yake wanafanya mambo ya kipuuzi yaliyo kinyume cha Sheria lakini hakuna hatua inayochukuliwa. Imagine hayo magari yangekuwa yameandikwa Lissu au Rungwe unadhani yangeruhusiwa kupita Barabarani?
Ndio wanazo zaid ya moja niliziona kwenye msafara wao
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Huku Mbeya hadi gari la matangazo analotumia Tulia lina namba hiyo hiyo T2020 JPM
Duh kazi ipo.Hayi ni magari yamewekwa namba au jina moja tu kwa ajiri ya kampeni, lakini yana namaba tofauti kila moja. Na kwa vile yanatumika kwa kazi maalumu hakuna shida, ilimladi yanatoa taarifa kwenye vyombo husika.
Hata wewe unaweza fanya hivyo kwenye magari yako, ila utalipia ghalama ya hilo jina kwenye magari hata kama yatakuwa 50
Mkuu sasa hii si ile ile umeleta picha ya mbele?!!..View attachment 1599537View attachment 1599538
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Hii kweli ni nyingine(Prado). Wote wanafanya kitu kile kile.Hapo je !!
Una lingine la kusema ?????View attachment 1599524
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Subiri bado wiki mbili tu utajua halali au haramu. Maana hamuishi kila uchao kulalamika wakati kupaka rangi tu jengo la makao makuu ya chama chenu mmeshindwa na mnaona halali wapiga dili wakubwa nyieNimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?
Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?
Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?
Cc: Mkuu wa usalama barabarani.