Msijifanye vipofu wewe ungekuwa polisi ndio ungefanyaje?Hii nchi polisi wanajuaga sheria ikiwa ni upinzani tu, ukiwa CCM unaweza kufanya lolote. Huku Tabata yamejaa kuanzia la mgombea ubunge Segerea, madiwani na mashabiki.
Achilia tu ajali, what if yanatumika kwa nia ovu na wazee wa malindi?Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?
Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?
Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?
Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Mwambie asishindane nae kwa Nchi za Kiafrika Rais yupo juu kuliko hata Mungu si umeisikia ile video ya kimkakati mwanadada mwenzako alivyotamka ushindi wa CCM hauhitaji Mungu akipenda akipenda asipende ushind LAZIMA si ndio??Utashindana na Rais wewe?
Usikwepe swali gari moja ya namba T2020 JPM ikifanya kosa unaripoti vipi kuzitafautisha na zile zengine??Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
We nenda tu karipoti lakini jiandae uwatajie chasis and engine number ya gari iliyokugonga, au engine na chasis number ya yale magari mengine 9 ambayo hayakuhusika ili hatimae wapate linalohusika!!Kwahiyo likinigonga nisiende kuripoti?
[emoji1787][emoji1787]Litakugonga saa ngapi wakati muda wote lipo na escort.
Sio kwa gari moja, kwa namna tofauti na ya kipekeeHaziwezi zikawa special namba wakati ni magari zaidi ya matano hapo. Special namba inakua kwa gari moja
Nadhani level yako ya kuelewa iko chini. Huko kushindwa kutofautisha hayo magari yanayotumia hiyo namba ndiyo swali la aliyeleta hii mada. Swali lake kwa nini namba moja itumike kwa magari mengi, tutatofautishaje pale moja likileta shida?? Mrudie kumsoma na kisha soma ulichoandika.Utapoteza muda wako. Wewe umeyaona kama kumi hivi kwa hiyo yapo zaidi ya hayo. Utakapokuwa unatoa taarifa utalitofautishaje hilo na yale tisa mengine?
Litakugonga sana utaishia hospitali au mochwari.Kwahiyo likinigonga nisiende kuripoti?
Ndiyo kwanza watakuchukua na kukuweka ndani na kukufungulia kesi ya uchocheziUtapoteza muda wako. Wewe umeyaona kama kumi hivi kwa hiyo yapo zaidi ya hayo. Utakapokuwa unatoa taarifa utalitofautishaje hilo na yale tisa mengine?
Ukitaka kuweka jina lako, utasajili kwa COUNTRYWIDE 1, COUNTRYWIDE 2, COUNTRYWIDE 3 etc ili kuweka tofauti ya gari moja na nyingine. Huwezi kusajili magari yako kumi yote "COUNTRYWIDE"Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
CCM tuna rahaa tele kwa kuwa tupo juu ya sheria.Hata hii ya kwangu hii nimeweka hiyo nambaHiki kitoyota Wallah hata Magu mwenyewe hafurahii kuona kimewekewa jina lake na nakwambia Traffic watakukamata tu ukizingua road maana inaonekana dhahiri wewe kwny msafara wa Mamba ni kenge tu.
Kuna vyombo kama Discovery 4/5,Ma Range rover,Ma V8(Lc 200),Patrol Y62 nimeziona zina hio No. Plates Ya Magu na ukweli hata road hawatakamatwa maana gari yenyewe tu inajieleza.
Sasa unakuja na ka brevis sijui mark x No. plate Inasoma T2020JPM utapata tabu sana braza.
Kabla ya kufika huko, tra wangepata usajiri?Kila siku tunapiga kelele kuhusu Serikali hii na CCM yake wanafanya mambo ya kipuuzi yaliyo kinyume cha Sheria lakini hakuna hatua inayochukuliwa. Imagine hayo magari yangekuwa yameandikwa Lissu au Rungwe unadhani yangeruhusiwa kupita Barabarani?
Kuna siku utajua kuwa huna serekali!Hata mimi nafikiria hivi. Ila hatari yake ikoje iwapo gari lenye namba hii likipiga tukio?
Zitakuwa something like RRONDO 1, RRONDO2, RRONDOX etc, na sio zooooooooote RRONDO!!Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Unaionja sumu kwa kuilambaAndikeni tuone kama hayataruhusiwa