Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

We hujawaza kwa kina, private number ikishachukuliwa na mmoja, hiyo namba anapewaje tena mwingine? Halafu kuna watu wamekupa na LIKE aisee ushabiki bila kutumia akili ni mbaya sana
Hata kama ni magari ya mtu mmoja, lazima iwekwe tofauti.. mfano kama mwenye hayo magari anaitwa MIMI, inaweza ikaandikwa MIMI 1, MIMI 2, MIMI 3 etc... huwezi yote ukaandikiwa MIMI, MIMI, MIMI...

Acheni kutetea vya kijinga

Fikiria, umekutana na trafiki anakagua magari kwa vile vimashine vyao, kama inadaiwa akaona T 2020 JPM inadaiwa, atamkamata nani?
Hapo umehitimisha mjadala. Ila kuna wabishi watakuja tu na hoja pingamizi.
 
Hahah hio namba ni specific kwa kampeni season. Inalipiwa laki na nusu na si 10M mjomba.
Hii fee ya Tsh.150,000 mbona hata kwny jedwali la TRA haipo mzee baba?
Screenshot_2020-10-06-07-54-36-1.jpg
 
Ongeza cc TRA ndio wenye jukumu la kusajili na kupokea mapato stahili yanayohusiana na usajili.
 
u
Kuna mjomba hapo[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]amesema kuna hio fee ya Tsh. Ya 150,000,sikua nimewahi kuisikia kabla.
itakuwa ni mkono wa baunsa umetype 😂😂😂 fee ni laki 5
 
Najiuliza tu, wale wapenzi na washabiki wa Lissu wakitaka kuweka T 2020 TAL wataruhusiwa? Manake kusiwe na double standard!!
Hapo jibu utakalopewa ni rahisi tu,bado tuko kwny D huko kwny T hatujafika na usituchanganye kabisa.

Ila hapohapo usiniulize kama tumeshafikia kwny J.
 
Back
Top Bottom