Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Utatofautisha kwa rangi na aina. Ukifika polisi utawaambia gari aina.... rangi ..... Mhimili mwingine mizizi yake imejichimbia zaidi, kumbuka hilo... Ujiongeze na ujue kazi ya mzizi na umuhimu wake kwenye mti.
 
Ila maoni yako yasiwe kukashifu mamlaka halali.

Kinacho jadiliwa hapa ni kweli na Ushahidi umewekwa ,ile Katuni ina ujumbe mzuri sana juu ya Bwana mkubwa.Hata Katiba hii na mapungufu yake yote inaamini Mtu mwenye cheo cha Ukuu wa Nchi hawezi kufanya/kuamua kila kitu yeye tu.
 
Hata nyie ruksa kuandika ilimrad TRA wachukue chao mapema
 
Kinacho jadiliwa hapa ni kweli na Ushahidi umewekwa ,ile Katuni ina ujumbe mzuri sana juu ya Bwana mkubwa.Hata Katiba hii na mapungufu yake yote inaamini Mtu mwenye cheo cha Ukuu wa Nchi hawezi kufanya/kuamua kila kitu yeye tu.
Tujadili namba za haya magari mkuu. Hayo mengine yapo kule jukwaa la siasa.
Kumbe Moderator kapeleka huu uzi jukwaa la siasa!
 
Hisia zangu zinanituma kubaya. Wakati wa uchaguzi hizi gari zaweza kutumika kufanya uhalifu mfano kupora box la kura. Ikaiwia ngumu kulitofautisha.

Polisi chukueni hatua kupiga marufuku
 
Hisia zangu zinanituma kubaya. Wakati wa uchaguzi hizi gari zaweza kutumika kufanya uhalifu mfano kupora box la kura. Ikaiwia ngumu kulitofautisha.

Polisi chukueni hatua kupiga marufuku
Sidhani. Wengi wanafuata mkumbo wanabandika tu.
 
Hili la Namba za Magari kwa Namba moja (inayo fanana) kutumiwa/kutumika katika Magari tofauti ni kosa ,ila kwa Sababu CCM ndio mmeshika mpini ni sawa tu.Kwa wenye Akili tunasema mnavunja Sheria.
Unaniita CCM mbona nimelileta humu?
 
Back
Top Bottom